Kujifunza teknolojia kuendana na karne ya sasa

mhinirama

New Member
Sep 14, 2018
1
0
Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao.

Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya picha na pia utengenezaji wa video zinawapa watu faida kubwa kama watumiaji wa tiktok, you tube n.k

Kuna haja kubwa watu kujifunza teknolojia mbalimbali ili kuongeza mafanikio ya kiuchumi,

Watu wataweza kuuza bidhaa zao kwa kutumia mitandao ya kijamii, pale mtu anapokuwa na ujuzi.

Kuna watu wanatengeza zaidi ya million tano kwa mwezi kwenye mitandao hii yote ni kuijua teknolojia.
 
Back
Top Bottom