Kujifunza ku play keyboard

Kujifunza ku play keyboard

babumufty

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
223
Reaction score
77
Jamani nataka kujua kuplay keyboard wowote aneweza kunisaidia naomba bc.nipo dar.nawasisha maombi kwenu
 
Jamani nataka kujua kuplay keyboard wowote aneweza kunisaidia naomba bc.nipo dar.nawasisha maombi kwenu
do u have any music theory understanding? nadhani pale ilala amana vijana centre kuna jamaa anafundisha. pia kuna jamaa (professionals) walikuwa na plan nzuri ya kuanzisha darasa la kujifunza piano. Nitaulizia then ntakupa PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom