KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,053
jamn hakuna mwf wake humu.....?
Yupo
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
jamn hakuna mwf wake humu.....?
Yupo
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
tofauti na shy land..mwingine nani.
Unadhani,labda kasahau tu.
nakumbuka alijitanabaisha alitoka shy kuja kusoma english course kwa ras simba
Mwanafunzi mmoja wa ras simba ni Shy land.
Mimi ni mzaliwa wa shinyanga vijijini, elimu yangu ni ya darasa la saba ila baada ya kupata hela mwaka 2013, nilikuja dar nikasoma English course pale magomeni mapipa kwa ras simba.
Kutokana na vishawishi vya vijijini na makundi ya vijana niliamua kuacha shule baada ya kuhitimu darasa la saba, kwa sababu ya kwenda kuchunga, kuwinda denge na kuvua samaki kwenye mito.,
kwa kweli baada ya kuacha shule niliumia sana kutokana na wezangu kwenda shuleni na mimi kwenda shambani.
Kulikuwa na matabaka kati ya vijana wasomi na sisi ambao tulikataa kusoma, kwanza tulikuwa wachafu sana.
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2008, mwaka huu ulikuwa na neema kubwa sana kwangu, kutokana na baba yangu kunikabidhi shamba la kulima dengu na mpuga kweli mwaka huo ndio ulikuwa na bahati sana.
Nililima na kupata majunia 15 ya dengu na majuni 21 ya mpunga
baada ya kuyapata niliyatunza hadi wakati wa kilimo kilipoanza ndio nikayauza na kuweza kununua ng'ombe 8 wa kwangu.
Inaendelea page ya pili usikomenti kwanza...
~Nadhani hapa lengo ni kutangaza biashara ya Englis h course kwa Rasi Simba.Haya shime twendeni twisheni ujumbe umefika
Ndgu acha kuharibu na kudanyanya umma!
Hee si ulisema mwenyewe,leo unamkana??
Shy land ulikuja na uzi huu.
Zion akakustukia kwamba unamtangazia biashara Ras Simba.
~
Tukaomba chini uje kutoa ufafanuzi wa Ras
~
Mwanafunzi mmoja wa ras simba ni Shy land.
~
Hapa ukakataa kama haumjui huyo mtu na hajawai kukufundisha
~
~
Wakati sio mimi tu nlioona ushuhuda wako wa kusoma kwa ras simba hata zamda anajua kwamba mwenye ulisema.
~
~
Huyu Dr Year mie nilikuwa nahisi ni Tapeli ! Nashukuru umenisaidia hilo ! Kaharibu kipindi cha taarabu EA RadioRas simba ni tapeli tu kama matapeli wengine,kuna jamaa wa bongo movie naye ni Dr. Anajiita Dr Year naye anatibu magonjwa mbali mbali hadi ugumba aiseee watu wanatumia usanii kutapeli wagonjwa.
Huyu Dr Year mie nilikuwa nahisi ni Tapeli ! Nashukuru umenisaidia hilo ! Kaharibu kipindi cha taarabu EA Radio
R Chuga wanaifahamu bangi vizuriRas simba ni kanjanja. Kuna kipindi alikuwa arusha. Lakin machalii wa r wakamstukia ni T.P
Huyu Dr Year mie nilikuwa nahisi ni Tapeli ! Nashukuru umenisaidia hilo ! Kaharibu kipindi cha taarabu EA Radio