Kujifunza kiingereza kwa Rasi Simba

Kujifunza kiingereza kwa Rasi Simba

Ras simba ni tapeli tu kama matapeli wengine,kuna jamaa wa bongo movie naye ni Dr. Anajiita Dr Year naye anatibu magonjwa mbali mbali hadi ugumba aiseee watu wanatumia usanii kutapeli wagonjwa.

Mkuu unamaanisha yule Mzee wa Ndondo Cup?
 
yaani wewe pimbi ndo ulisema unanizidi elimu kumbe mtu mwenyewe ni product ya mvuta bangi simba? it's terrible, ndo maana hata mbozi hujui ipo nchi gani wewe pambafu
Ras Simba ndio yule aliyekuwa mwanamuziki wa bongo fleva?
 
jaman achen jazba.....
 
Ni muda mrefu nimesikia english course ya huyu jamaa na kanuni zake from America.

Kila siku amekuwa ana change matangazo na offer za ajabu ajabu, I mean hana specific price mara lipa leo tu,mara wateja 20 wa Dar tu.
.
Nani anajua huduma ya huyu jamaa na English anayofundisha anatumia uwezo gani?

Huo ni uhuni mkubwa
 
Back
Top Bottom