Kujiendeleza baada ya kupata div.3 ya points 17 PCB

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu polen na majukumu!kuna kijana wangu kapata div3 ya points 17 PCB,ana E ya BIOLOGY na zingine kapata S.sasa kwa hapo anaweza kusoma kitu gani ili baadae ajiendeleze na degree ya udaktari?nawasilisha
 
hapo hapo kaka unaweza ku enrol nursing diploma miaka 3 then MD miaka 5 nadhani utakuwa at the age of 28 or 30 by them sio mbaya.......
 
Unaweza pia kusoma diploma ya ualimu kama una interest ,wahi application mwisho 31/05/2011
 
Mbona amechelewa, pcb ukiwa na principle 1 unaapply tcu, kuna watu kibao wameaaply na wanaitwa na mkopo juu, anaweza kusoma bachelor za accounts,bba,computer science,it nk. Au kama anataka udr. Aapply vyuo vya tiba asome clinical officer miaka 3 af ataingia medicine miaka 5. Pia anaweza kusoma diploma za nursing,pharmacy na labalatory miaka 3 then 5 dree yake. Naona muda unaisha kama hajaapply awahi nadhani mwisho 30,May
 
huyu muelekezee kwenye kilimo kwanza na mambo ya bustani za mbogamboga itamsaidia sana katika maisha yake ya baadaye
 
Back
Top Bottom