Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Katika maisha kila mtu ana preferences zake kulingana na umri na alivyokulia(background).

Kijana mdogo ambaye hana majukumu hauwezi kumshawishi ajenge nyumba na kuacha kununua ndinga.

Kijana amabaye dingi kashampa ndinga na nyumba akaanze maisha hauwezi kumpangia pesa zake kwenye mitungi na mikasi.
 
Back
Top Bottom