Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,819
Hapo unanipa wakati mgumuWe nipe wazo..kama nilivyokuambia sina budget maalum
Hapo unanipa wakati mgumuWe nipe wazo..kama nilivyokuambia sina budget maalum
Nyie makapuku wapi bwana mnajifanyisha tuHahahaa
Kama unajifananisha na sisi makapuku forum sawa
Tafuta hela mpaka uone hio Kodi ni ndogo. Au hamia kwenye nyumba ambayo Kodi haikuumizi kichwa. Itakuwa ngumu kujenga huku umepanga sehemu ambayo Kodi yake sio size yako. Yaani inakukamua.Hahaha kama nimekosea unanichana tu sio unanisifia uongo hapa. Upo sahihi kamesa na maelezo yako yana-make alot of sense ila mimi kipaumbele changu ni makazi kwa kweli maana nikiangalia kodi inavyonipaga stress hapana kwa kweli. Unapata kadili kadogo unapata kahela badala ufikirie vitu vya maana unamfikiria mwenye nyumba, kodi huwa inaniuma mimi utadhani nampa ya bure
Yes kwa sasa uihudumii , ila kumbuka hicho kitu ambacho ukihudumii in account ni sehemu ya your net worth, but your net worth have to be reevaluated over the time because of depreciation.Watu wanajenga nyumba kusevu cost za rent halafu wewe unasema ni liability kwa sababu unaihudumia, niambie hizo gharama za kuihudumia nyumba ni kiasi gani kwa mwaka hadi iizidi rent unayolipa kwa landlord...
Hela natafuta pacha ila hazionekani. Kuhusu nyumba ya kodi ndogo zaidI ya hii maana yake nikapange room isiyo na umeme nadhani ndio itakuwa chini ya hapa nilipo. Wewe ni mtu mzimw nina hakika umeelewa.Tafuta hela mpaka uone hio Kodi ni ndogo. Au hamia kwenye nyumba ambayo Kodi haikuumizi kichwa. Itakuwa ngumu kujenga huku umepanga sehemu ambayo Kodi yake sio size yako. Yaani inakukamua.
Hapo kwenye eicher kama "ceteris paribus"hata kujenga nyumba ya kupangisha bado sio uchaguzi mzuri kibiashara.
mfano nyumba uliyojenga kwa 80mln tabata,unawezapangisha kwa 250-300 kwa mwezi...
Wewe ndio unatakiwa uelewe unaposoma.. nimesema kodi yoyote inaumiza regardless iwe house rent au income taxWatanzania wengi wanaokaa kwao haimaanishi wana raha, wengi bado ni omba omba na tegemezi kwenye hizo nyumba zao.
Ni baba na mama wenye nyumba ambao ni mafukara!
Pia jifunze tofauti ya rent na tax.
Hitaji la muhimu la binadamu ni makazi bora.Mkuu nyumba sio swala la kipaumbele tu,, ila ni hitaji muhimu la kila binadamu.
Muhimu nafikiri ni kuzingatia hali uliyonayo kwa wakati huo na kama inakuwezesha kujenga huku mambo mengine yanaendelea basi ni vyema ukajenga na uwe na kwako.. Ila kujenga huku unalala njaa hio sishauri sana...
dah we jamaa ni noma sana.Biashara ni kipaji na ni hobby pia.
Mimi binafsi nikifanya biashara,siwezi pata kiu ya soda halafu mezani kuna buku naiangalia.
Unawezaona ni kwa namna gani biashara sio fani yangu.
Kingine inabidi tushukuru wafanyakazi wa aina hiyo,maana wanawapisha wasio wafanyakazi nao waishi kupitia biashara, vinginevyo itakuwa ni urafi na roho za ubinafsi.
Yaani katika kitu ninachokihofia ni kuondoka hapa duniani halafu familia nimeiacha kwenye nyumba ya kupanga, binti yangu anaweza kuishia magetoni kwa wahunikwa mwenye familia wew jenga tu maake na hii kolona ukikata moto familia una ipa mzigo wa kupanga mzee maana ata ukiacha biashara inakua ni danadana ya ndugu tu inabaki mzee wao alkua na pesa
Huu ndio woga wenyewe sasaYaani katika kitu ninachokihofia ni kuondoka hapa duniani halafu familia nimeiacha kwenye nyumba ya kupanga, binti yangu anaweza kuishia magetoni kwa wahuni
Ni woga kwa kwenda mbele...kwa mwenye familia wew jenga tu maake na hii kolona ukikata moto familia una ipa mzigo wa kupanga mzee maana ata ukiacha biashara inakua ni danadana ya ndugu tu inabaki mzee wao alkua na pesa
Nyumba yako umeikatia Bima? Basi tushuke kidogo. Ina Title Deed?Yaani katika kitu ninachokihofia ni kuondoka hapa duniani halafu familia nimeiacha kwenye nyumba ya kupanga, binti yangu anaweza kuishia magetoni kwa wahuni