Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto wanaosoma hapo. Pia, usalama wa hiyo shule.
Mwenye uelewa na haya masuala sheli adadavue. Me naona kama ni hatari sana kwa watoto. Wizara ya Elimu na Wizara ya Nishati watakuwa wamempa kibali lakini je ni sahihi.
Mwenye uelewa na haya masuala sheli adadavue. Me naona kama ni hatari sana kwa watoto. Wizara ya Elimu na Wizara ya Nishati watakuwa wamempa kibali lakini je ni sahihi.