Kujaribiwa

Nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulipendana na tukawa na maisha ya furaha na tulipanga tutaoana mapema.
Ila kuna kitu kilikuwa kinaniumiza akili,si kingine bali ni mdogo wake wa kike mwenye umri wa miaka 22 na alikuwa mrembo sana.Alikuwa havai ch*pi wala brazia na alikuwa anainama makusudi pale alipokuwa karibu yangu,hakuwahi kufanya hivo akiwa na mtu mwingine,mi nilikuwa na tabia ya kuchunguza kwa makini.Siku moja akanipigia simu niende kwao kuchukua kadi za mwaliko kwa ajili ya arusi yangu na dada yake,nilipofika nilimkuta peke yake nyumbani na akaniambia ananipenda sana na kuniomba nifanye naye tendo la ndoa kujali hisia zake kabla sijaenda kumwoa dada yake.Kidogo akaanza kupanda ngazi na kudondosha mavazi yake na kubaki uchi,sikuweza kuvumilia nikafungua mlango nilipotoka nikashangaa wazazi wake wamesimama karibu na gari yangu wakipiga makofi na kuniambia ""hongera kijana wetu kwa kufauli mtihani tuliokupa,ungeshindwa na kutegeka tusingekupa binti yetu kabisa umwoe''''

kumbe hawakugundua uzalendo ulinishinda nilikuwa naelekea kwenye gari kuchukua condom.
hihiiii....
 
Back
Top Bottom