Kujaribiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujaribiwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Mar 9, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulipendana na tukawa na maisha ya furaha na tulipanga tutaoana mapema.
  Ila kuna kitu kilikuwa kinaniumiza akili,si kingine bali ni mdogo wake wa kike mwenye umri wa miaka 22 na alikuwa mrembo sana.Alikuwa havai ch*pi wala brazia na alikuwa anainama makusudi pale alipokuwa karibu yangu,hakuwahi kufanya hivo akiwa na mtu mwingine,mi nilikuwa na tabia ya kuchunguza kwa makini.Siku moja akanipigia simu niende kwao kuchukua kadi za mwaliko kwa ajili ya arusi yangu na dada yake,nilipofika nilimkuta peke yake nyumbani na akaniambia ananipenda sana na kuniomba nifanye naye tendo la ndoa kujali hisia zake kabla sijaenda kumwoa dada yake.Kidogo akaanza kupanda ngazi na kudondosha mavazi yake na kubaki uchi,sikuweza kuvumilia nikafungua mlango nilipotoka nikashangaa wazazi wake wamesimama karibu na gari yangu wakipiga makofi na kuniambia ""hongera kijana wetu kwa kufauli mtihani tuliokupa,ungeshindwa na kutegeka tusingekupa binti yetu kabisa umwoe''''

  kumbe hawakugundua uzalendo ulinishinda nilikuwa naelekea kwenye gari kuchukua condom.
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tehe tehe tehe !
  Huyo mkuu hapo kati si alinywea ghafla ?! Akawa mdogo kama bamia changa.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Yaani mood ilibadilika gafla na msisimko wote ukatoweka
   
 4. M

  Mashroud Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu amekuokoa kijana.
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh teh
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  kwa utaratibu huu hata mkeo mtarajiwa wako anajua kinachoendelea.
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Mtafute cku nyingine !
   
 8. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kabila gani wana mila hizo?
   
 9. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Baada ya ndoa lazima ningemtafuta hadi kieleweke.
   
 10. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ipo vizuri.
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Mpambano umesogezwa mbele..
   
 12. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Usijali sana, kama umeuona uchi wake utampata tu siku yoyote baada ya kumuoa dada yake
   
 13. Z

  Zimba Senior Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  May explode if exposed of in fireeeeee!!!!
   
 14. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  aisee hii Kali!!!!lakini wazazi wamemponza huyo binti!!!!!kuliwa ataliwa tu!!!!
   
 15. c

  chief72 JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mweke kipolo huyo,kishakuonyesha mbunye bdo nini tena?
   
 16. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ningekuwa mimi ningemtosa mchumba!
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  penzi ni kama miwani nyeusi
   
 18. S

  Senator p JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa noma
   
 19. N

  NJIWA PORI Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Mitego ya namana hii ingenikuta mie bwana
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  malizia basi ulikuwa unafuata condom kwenye gari lako ndio ukakumbanaa na kiza zaa cha wakwe nje.
   
Loading...