nnhhhh!!!huyo atakuwa anabata ushungu wallahi
Juzi nilikuwa nakatiza mitaani nikakuta kijana mmoja amefungwa na kamba miguu na mikono kama mwizi halafu amelazwa juani, nikauliza kulikoni nikaambiwa alimjambisha mzee mmoja ambaye alikuwepo pale kuhakikisha kuwa jamaa hafunguliwi kamba.
Yule mzee alikuwa analalamika kuwa wanamkera sana na kumuumiza wanapomjambisha sasa leo anatoa somo kwa wote
Mimi nikabaki najiuliza anapata maumivu gani anapojambishwa?:confused2: hebu wadau tulijadiri hili suala labda lina matatizo kitaalamu kwa baadhi ya watu
hapa kitaani kwetu mzee mmoja aliamua kuikodi taxi kumfukuzia jamaa mmoja ambae alimjambisha na baadae kukimbia na gari yake mzee alimmaindi akamfuatilia mpaka akamkamata na akazaa nae........
ila jamani ni kwanini waislamu tu ndo wana haya madudu

acha udini wewehapa kitaani kwetu mzee mmoja aliamua kuikodi taxi kumfukuzia jamaa mmoja ambae alimjambisha na baadae kukimbia na gari yake mzee alimmaindi akamfuatilia mpaka akamkamata na akazaa nae........
ila jamani ni kwanini waislamu tu ndo wana haya madudu
Huyo jamaa kaiharibu mada!acha udini wewe
mi siwezi jua kama ni wa dini gani maana nilikuwa napita njia na pia watanzania hatubaguani kwa dini na wala huwezi kujua mtu dini yake kwa kumuangalia. Tuache mambo ya udini humu naomba tuendelee na topiki yetu ya kujambisha. TZ ni moja dhana ya ubaguzi ni mbaya sanaMNH...kwani FD huyo mzee alikuwa mkristo au muislam??? :rolleyez: