Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Jaman, nimejikuta nina hali hii ni wiki sasa, ila sina constipation, sielewi ni tatizo gani.

Msaaada jamani.
 
Last edited by a moderator:
Hili jambo huwa linawatokea sana wapendwa wanaojamiiana na sasa limeota mizizi na inasemekana kuwa ni aina mpya ya ugonjwa ambao wengi wetu bado hatujaufahamu.

Na mara hali hii hutokea sana pale wakati ama mwanaume anakaribia kufika katika mshindo au mwanamke anapotaka kukojoa.

Isipokuwa uzuri au cha ajabu ni kwamba wawili wote hao wanapojamba huwa hakuna harufu na hali huwa ni shwari ila tu milio ya kujamba huko huwa ni mikubwa kiasi.

Wataalam karibuni.
 
Lakini kwa uchunguzi imegundulika kuwa, kujamba wakati wa tendo la ndoa huwatokea wale ambao wana tabia ya kuliwa migongo kama huko kwenu.

jaribu kuwa serious na adabu basi japo hatujuani humu jf kwani unaweza kukuta mimi unayenijibu ndiyo natia saini ya ama wewe mwezi huu upewe mshahara au nikulaze na njaa. shauri yako!
 
huo siyo ugonjwa

ni kitendo cha kupiga tako nzito nzito papuchini na kupelekea papuchi kujaa hewa(kupumua kwa papuchi)
 
itakuwa ni hewa inatioka baada ya kupampu mda mrefu...
Hili jambo huwa linawatokea sana wapendwa wanaojamiiana na sasa limeota mizizi na inasemekana kuwa ni aina mpya ya ugonjwa ambao wengi wetu bado hatujaufahamu.

Na mara hali hii hutokea sana pale wakati ama mwanaume anakaribia kufika katika mshindo au mwanamke anapotaka kukojoa.

Isipokuwa uzuri au cha ajabu ni kwamba wawili wote hao wanapojamba huwa hakuna harufu na hali huwa ni shwari ila tu milio ya kujamba huko huwa ni mikubwa kiasi.

Wataalam karibuni.
itakuwa mabomu ya furaha
 
Sio kujamba nikimaanisha kujamba hewa inatoka nyuma ila hiyo hewa huwa inatokea kwenye papuchi, ni hewa inaingia wakati mwanamke kainama doggie akiinuka lazma itoke
Huko kwenu ni ugonjwa wa mlipuko au?
Nimekuelewa dokta
 
Kweli mm nishawahi kuwa na demu kama huyo,tena ikianza huchukua hata sekunde 3bila kuacha mpaka nikajiuliza nn hiki kitu,two years ago,tena kwa milio tofauti,yaaan ukimwambia geuka hivi lazima mishindo ifumuke,sasa mzee umepiga harafu ukasema ngoja nipate maji ya kunyw tutafute la tatu,bhan hatari tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom