Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Hahaha....Mwaka 2007 nilikua House Boy kwenye familia moja ya Kidachi Cape Town SA....Yani kuanzia wajukuu mpaka bibi ni vijambo tuu ...Ilinichukua muda sana kwenda na flow siyo kujamba kama wao!! la hasha to get used with it.

"Ukienda Roma, ishi kama Waroma" - Wahenga
 
wengine wala hatuoni shida wala aibu..tena nikitaka kujamba nipo radhi niinue mguu mmoja kidogo au nasimama kabisa ili utoke vizuri!!na nikisikia Ka harufu Ka ushuzi wangu ndo burudani....naungana na waliosema kujamba raha kweli
 
UKijamba mbele za watu, aibu inakuja pale kwamba watu wanakufikiria kinanii chako kinamatatizo, hakina breki.
 
Mara ya kwanza kulala na dem wangu ckupata ucngizi kuhofia kumjambia.....usingizi ulikuja kulala shuzi likaniponyoka asee nialiamka fasta na kuangalia kama kackia noma sanaaaa......ila cku nilivyomckia anajamba...daaaa ckuamini na mm nikaanza kumlipa bila uoga

Aaaaah mkuu umefanya siku yangu iende vizuri maana wiki nzima nilikuwa staki kuongea na mtu kwa maudhi ila sasa safiiiiiii
 
ni utamaduni wetu wa Africa kujamba tunaiona kama ni aibu Fulani lakini kwa hawa weupe especially USA
1.mtu anajamba wakiw mezani wanakula na wanampongeza sna kuwa digestion yake ipo pa
 
mtafute MziziMkavu ukikosa tiba kwake wala usisumbuke tena!! yupo hatua za mwisho kugundua dawa ya ukimwi kila la heri ukara!
 
Last edited by a moderator:
Badala ya mtu anapotoa hewa chafu mwilini (fart) kulalamikiwa na kuonekana wa ajabu, ni wakati muafaka sasa mtu kupongezwa kila anapofanya hivyo. Hii ni kwa mujibu wa utafiti kama inavyoelezwa na mirror.co.uk...

=========

Hydrogen sulfide is one of a number of potent smelly gases produced by bacteria as it breaks down food in the gut.

It is toxic in large doses but in tiny amounts it helps protect cells and fight illness, according to researchers at Exeter University.

Professor Matt Whiteman from University of Exeter's medical school said: "When cells become stressed by disease, they draw in enzymes to generate minute quantities of hydrogen sulfide.

"This keeps the mitochondria ticking over and allows cells to live. If this doesn't happen, the cells die and lose the ability to regulate survival and control inflammation.

Fellow researcher Dr. Mark Wood added: "Although hydrogen sulfide is well known as a pungent, foul-smelling gas in rotten eggs and flatulence, it is naturally produced in the body and could in fact be a healthcare hero with significant implications for future therapies for a variety of diseases."

=========

Ukijiskia Kujamba wewe jamba tu kwa afya yako wala usiangalie pembeni yako wako wakina nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom