Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,203
- 2,064
ulijiregister lini??Na mm leo nimepigiwa nmeambiwa niende kesho
ulijiregister lini??Na mm leo nimepigiwa nmeambiwa niende kesho
Mwezi wa kwanza mwaka huuulijiregister lini??
Mpaka kazi husika ulichosomea ipatikane, isipopatikana ndo hvy tena unaona kimya. Ww hapo endelea kufanya mambo yakoJamani Mimi nilishafanya interview taesa , Sasa karibia mwezi sijapata kinachoendela
Je huwa inachukua mda gani ukifanya interview ili wakupange kituo?
Oooh! Nadhani kulitokea tatizo, anyway, kipindi hicho nawafuata TAESA sikubahatika kukutana na mtu aliyekua na elimu level ya certificate (hii ni kwa wale niliofanikiwa ku'connect nao) ila wale wa diploma niliingia nao hadi kwenye internship. Kikubwa kama una certificate we beba vyeti vyako original fika pale. Ukikataliwa basi mapambano yaendelee
Ni kuanzia diploma, certificate kushuka chini hawahitaji. Niliwahi kuhudhuria training na kuna mmoja alikuwa na certificate akaambiwa hawachukui watu hao.Mkuu hii inawahusu level zote ,nikimaanisha certificate,diploma na degree?
Sio kweli labda huyo alikuwa roho mbaya tuNi kuanzia diploma, certificate kushuka chini hawahitaji. Niliwahi kuhudhuria training na kuna mmoja alikuwa na certificate akaambiwa hawachukui watu hao.
Sawa ninSawa miuu
taesa ndo nn maana mimi najua TaESAJamani Mimi nilishafanya interview taesa , Sasa karibia mwezi sijapata kinachoendela
Je huwa inachukua mda gani ukifanya interview ili wakupange kituo?
Mbona unafukua Uzi, Nini shida mkuuSio TAESA Bali ni TaESA
Training ni kufundishwa jinc ya kujibu maswali ya interview na mambo mengine yanayohusu usaili, Interview ndo maswali yenyewe unapigwa nayo usoni 😁Hivi tofauti ya training na interview ya hapo Taesa huwa ni nini ?
Mkuu wamekuita mim nimefanya nao usaili week imepita naona wako kimyaNa mm leo nimepigiwa nmeambiwa niende kesho
Comment ya muda mrefu hiyo, kufanya usaili haina maana ndo kazi umepata.Mkuu wamekuita mim nimefanya nao usaili week imepita naona wako kimya
Acha utototaesa ndo nn maana mimi najua TaESA
Internship plus wataanza kukata ada yaoKwa aliyepata ajira mwaka huu taesa atuambie