Ww ulipataInternship plus wataanza kukata ada yao
Hapana jamaa zangu wa karibu walipata mimi mpka leo nimeshindwa kuweka profile picture inanigomeaWw ulipata
Hawakati Bana Ila hiyo hela Yenyewe inatoka Ikijisikia ....Unawezaka hata mwezi na kidogo usiipateAda ipi wanakata yaani wakulipe 150,000 bado waikate daa hii nchi ngumu sana
Nilidhani hili tatizo ni kwangu tiHapana jamaa zangu wa karibu walipata mimi mpka leo nimeshindwa kuweka profile picture inanigomea
Tupo wengi sijui ndio wametupunguza kimtindoNilidhani hili tatizo ni kwangu ti