Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Akiba pale upande wa pili utaiona..ipo kama police postHivi Hawa ofisi zao ziko maeneo gani? Na kwa mtu anayekaa Gongolamboto apande usafiri wa kwenda wapi
Akiba pale upande wa pili utaiona..ipo kama police postHivi Hawa ofisi zao ziko maeneo gani? Na kwa mtu anayekaa Gongolamboto apande usafiri wa kwenda wapi
Aiiiseeee Kama police tenaAkiba pale upande wa pili utaiona..ipo kama police post
Vipi mkuu ulienda ukajua nini kinaendelea?Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilipeleka CV yangu na taarifa zangu za kitaaluma TAESA kama Taasisi ya serikali inayoshughulika na ajira yani (Tanzania Employment Services Agency)...
Mkuu hii inawahusu level zote ,nikimaanisha certificate,diploma na degree?Panda gari za kwenda Postal/kivukoni omba kushukia CBE (nimesahau kituo kinaiwaje). Ukishuka vuka upande wa pili kisha uliza TAESA au Labour court(mahakama ya kazi) basi TAESA na hiyo labour court zimefuatana. Japo kwa nje ofisi ya TAESA inatia huruma kidogo.
Unapoenda kujisajiri mara ya kwanza hakikisha unabeba vyeti vyako ORIGINAL vya kitaaluma.
Mkuu hii inawahusu level zote ,nikimaanisha certificate,diploma na degree?
Ndio level yoyote kati ya hizo ulizotaja wanapata huduma za TAESAMkuu hii inawahusu level zote ,nikimaanisha certificate,diploma na degree?
Oooh! Nadhani kulitokea tatizo, anyway, kipindi hicho nawafuata TAESA sikubahatika kukutana na mtu aliyekua na elimu level ya certificate (hii ni kwa wale niliofanikiwa ku'connect nao) ila wale wa diploma niliingia nao hadi kwenye internship. Kikubwa kama una certificate we beba vyeti vyako original fika pale. Ukikataliwa basi mapambano yaendeleeUmejibu empty
Kuna jamaa waliikuwa chini ya Taesa baadae wakapewa mkataba na waliikuwa wanalipwa 150,000/= kwa mwezi Ila Sasa wameajiriwa kwa hyo we komaa tu mkuu kuwa mvumilivu na uwe na nidhamu ya kazi utakapopangiwa mungu si athuman wanasema
Mimi wamenipigia simu wiki iliyoisha wakanambie niende mwenye interview niliwah kufanya mtihani wao mwaka 2019 mwezi wa tisa .
ndo ofisi za uchumi wa kati sasaHawa jamaa kiofisi chao kinakatisha tamaa badala yakutia matumaini
Hawatabiriki mimi nilifanyaga interview mwaka jana December mpaka leo sijawahigi kuitwa for intern so inategemea na bahati yako si unajua corona iliingilia kati hpo so vingi vilikwama si ajabu ndo mana wengne hatukuitwa and transcript pia ni muhimu nenda nayo
Wanachukua kada yoyote we nenda kajisajili hata leo tulikuwa na jamaa kasoma automobile engineeringHao TAESA wanachukua hata waliomaliza chuo miaka 2 na waliosoma Engineering ?????
Ndio broEngineering huwa wanachukua ?
Sijajua ulivyosema 'miaka miwili' ulimaanisha nini hasa. Ila ninachofahamu ni kuwa wao wanadeal na wahitimu tu(diplomas, bachelors, masters, etc) na ndio maana ukifika pale cha kwanza utatakiwa uoneshe vyeti vyako original.Hao TAESA wanachukua hata waliomaliza chuo miaka 2 na waliosoma Engineering ?????
Wanachukua kada yoyote we nenda kajisajili hata leo tulikuwa na jamaa kasoma automobile engineering
Hapana, hawana hiyo huduma kwa sasa. Wanasajiri manually pale ofisini kwaosawa ila si unaweza kujisajili online ?
Hapana, hawana hiyo huduma kwa sasa. Wanasajiri manually pale ofisini kwao