Kuitwa Kazini TPDC

Kuitwa Kazini TPDC

ni kweli wameanza kuita
jamani tuwe serious! zile za mwezi wa tano nani kaitwa aje atoe ushuhuda hapa, tujue kabisa kama tumekosa. wa mwezi wa nane tuna uhakika coz majina yao yamewekwa mtandaoni
 
jamani tuwe serious! zile za mwezi wa tano nani kaitwa aje atoe ushuhuda hapa, tujue kabisa kama tumekosa. wa mwezi wa nane tuna uhakika coz majina yao yamewekwa mtandaoni

Jamani, TPDC sijaona wala kusikia kama waliajiri watu kutokana na interviews za mwezi Mei, 2014. Huenda wameshachinja au wanalo jambo. Inashangaza, siku chache zilizopita walitangaza nafasi za kazi na wameshaita watu kuajiriwa.
 
Mjini mipango aiseee ile itakuwa walifanya kama uhamiaji wakaona itakuwa soo wakarudia upya
 
Back
Top Bottom