Kuitwa Baba/Mama si Mchezo.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
13439153_1065828853501328_8384012106691938133_n.jpg

13567133_1065828900167990_1082149623257989168_n.jpg

13501901_1065828930167987_3725066808647880624_n.jpg
 
13511951_1065828986834648_3643067892816174677_n.jpg

I won't care much about the rest but I'll bite my lip on this.
 
Surprise ni pale umekaa seblen na watu wa heshima zao dogo anakuja kushikilia teitei(pichu) mkononi, lazima akili ipate moto!
 
Hahahaha wa kwangu ni Marafiki zangu balaaa, jana wamenitekenya nilikua ndio napitiwa na usingizi Dah nimeshtuka na hasira kibao aaaghh nikaishia kucheka tu, juzi yule mdogo kaenda kachukua funguo kawasha gari nimeruka kwa hasira hadi nikajigonga kwenye kiti yaani ni vituko hadi basi. Kweli kuitwa Baba kazi aiseeee sijui wazazi wetu walikuaje maana sisi kwetu tuko 16 sasa duh
 
raha sana....watoto huwa wanarefusha maisha.... i love them abundantly!
 
Hahahaha wa kwangu ni Marafiki zangu balaaa, jana wamenitekenya nilikua ndio napitiwa na usingizi Dah nimeshtuka na hasira kibao aaaghh nikaishia kucheka tu, juzi yule mdogo kaenda kachukua funguo kawasha gari nimeruka kwa hasira hadi nikajigonga kwenye kiti yaani ni vituko hadi basi. Kweli kuitwa Baba kazi aiseeee sijui wazazi wetu walikuaje maana sisi kwetu tuko 16 sasa duh
Hahaha
Hapo itakuwa unawaza kila siku ukitoka job utakutana na kituko gani
 
Hahahahahaa kuna siku nimeenda nyumbani na Rim paper nikafanye kazi yangu flani hivi dah, nimeingia kuoga nimetoka nakuta kachora sijui vitu gani huko ananimbia huyu ni Baba na Mama, usiombe aiseee inataka uvumilivu kw akweli basi nikamsifia tu ila nikamuomba na mimi niendelee sasa na kazi..... unaweza kuandika kitabu hasa huyu mdogo, wananichezea kuliko Mama yao, akina Mama ni wakali sana kwa watoto
 
Kids kuna age wakifika wanawaza kuharibu kuona nini kitatokea.

Kuna day kid akiwa kwenye bby walker, anacheza na kucheka cheka. Gafla nikaona mtu kimya , kuchek vzuri naona mtu kaenda kweny shelves za chini nilikuwa nimepanga kumbukumba za maisha yangu ya shule tangu msingi, dogo anachana chana na meno kama anakula chapati vile,

Kalivyo niona kanichekea na vijino vyake viwili baadae
 
Back
Top Bottom