Kuitana ..........ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitana ..........ni sawa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Slave, Jan 11, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mwanamke kutumia jina la mume., mf: khadija slave. Hapo kwa mtu asie mfahamu khadija si anaweza kujua slave ndo baba yake? Kama hiyo ni sawa basi nami kuanzia sasa nitaitwa slave khadija.teh teh!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili kama lilishaongelewa mkuu slave embu lisearch halafu na wewe utoe hoja zako..
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  No mashiko!
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Ukweli ni kwamba wanawake na wanaume woote twataka haki sawa... But IMO kuna mipaka yake.... Naamini kua moja ya maana ya kuitwa ubini wa mume, ni ile nafasi ya mume huyo katika maisha yangu.

  Kwa mfano labda naitwa AshaDii Rejao (yaani Rejao kama babangu); Nikiolewa na wewe nitaitwa AshaDii Rejao Slave.... As a way ya kuonesha Slave is My man, and responsible of my welfare. Labda kwa wale ambao hawapendi wanaume wachukua nafasi za wanaume katika maisha yao (hasa mahusiano ndo tatizo huja hapo)

  Ila ikitokea wewe Slave kama mume wangu ukataka uitwe Slave AshaDii Rejao, Kwa upande waku nasepa.... Kwamba mimi ndio nichukue nafasi ya mwanaume? kwamba mimi ndo nikuprotect? kweli kabisa hapana..... NDIO nafanya protection na kumjali mwanaume wangu but yatakiwa protection anayoprovide iwe kubwa kuliko ninayo provide kwake....

  Sasa basi Slave bado wataka uitwe Slave AshaDii Rejao?:eyebrows:
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  AshaDii Rejao????????????:focus:
  mimi hili swala naona ni gumu kweli? maana kuna siku hata mwanamke unakosa true identity.mfano mimi cheti vyeti vyangu ni smile edward lowassa,kazini mifuko ya jamiii benk kila kitu
  suppose nimeolewa nitaanza kuzunguka kubadili majina huko kote au?
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Mdogo wangu hapo bold sababu ni kaka niliona sio mbaya nikitumia mfano wa kakangu kuliko nitaje jina la babaetu hapa...lol
  Kuna basics za maeneo ya kubadili majina bana... Cheti cha ndoa ni moja ya mfano.... Ila naamini kua vyeti vya kitaaluma it is better vikabaiki hivo hivo.... Kama vile nifanyavo mimi..... Na mfano mzuri ni mimi... Dadako nimeolewa mara mbili... You never know labda yaweza itokee mara tatu.....:lol:.... Hapo inakua zari!
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Na mfano mzuri ni mimi... Dadako nimeolewa mara mbili... You never know labda yaweza itokee mara tatu.....:lol:.... Hapo inakua zari:focus:
  sasa kila mahali uwe na majina tofauti je ikitokea bahati mbaya hujaweka mambo vizuri mungu akakuchukua si itakuwa matatizo mara cheti jina hili benki hii a/c ulifungua ukiwa single jina lile ,benki hii umefungua a/c na mume jina hili so confusing bwana aaah
   
 8. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmh big sisy two times........ ww matata kumbee.
   
 9. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,023
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Hili linaleta maana na uhalisia ikiwa linakuwa practiced kati ya wapendanao wenye commintments za kweli, wawezao kuvumuliana, na kuishi pamoja na daima, no matter what happens.
  Cha kuzingatia kabla ya kubadili au kuongeza jina ni kuhakikisha Umoja wa wawili hawa uwe ni ule uliojengwa juu ya misingi ya ndoa imara au hata zisizoruhusu talaka.
  Tofauti na hapo, mwanamke ndiye atakuwa mhanga kwa kujikuta kila wakati anabadili jina fulani katika matumizi yake.
  Katika zama hizi , ukiondoa wale wafanyao mambo kwa mazoiea, ni wachache wenye mitazamo huru, hujiamini na kutumia majina ya wenza wao.
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Binafsi naona kwa upande wa mwanaume kujidai naye anataka atumie ubin wa mkewe wala haipendezedi na huyo mke akikubali basi naye ana matatizo yake,
  Binafsi kwa vile nitakuwa nishaamua kuolewa na huyo mume means nampenda na ni sehemu ya maisha yangu,nitajiskia kumpa fahari yake kwa kuongeza ubin wake baada ya majina yangu mawili km alivoelezea Dada mkubwa AshaDii hapo juu.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  Kid sis nimesema kuna maeneo ya kubadili majina.... Maeneo ya Msingi na sehemu zoote ambazo zahitaji registration na utambulisho wa majina yako sioni ubaya yakibaki hivo hivo. Sina maana sababu umeolewa ndio uanze kubadilisha majina katika maeneo yooote ya msingi.... HAPANA!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180  Obsesd kid sis... ndo matatizo yetu wazee wa zamani.....lol... Yaani tulikua unaolewa at age 16.... Utoto mwingi ka wadimba dimba ndoa inakushinda tena waolewa....lol
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  issue sio age sis ndoa ni kitu kingine kabisa haina utaalamu pole sana mkubwa hope upo sehemu sahihi sasa
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180


  Alhamdurillah! Namshukuru mwenyezi Mungu anasaidia...
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli yule shem wetu ni wa ukweli sana yule .nilimtumia application za unyumba ndogo hata hakufungua bwana.kaizer loh? Kanitosa mchana kweupeee
   
 16. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hope nw upo pazuri big sisy jaman......!
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Smile hapo pa red.. umenena cha maaana sana..
   
Loading...