Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,274
- 44,737
Its all about a means to an end.., na kama kuna alternatives.., sio vibaya kupiga magoti leo na kesho kusimama milele..
after all Baniani Mbaya Kiatu Chake Dawa...
LAKINI
KUMBUKA...
Tofautisha Ujasiri na Ujinga sababu kuacha kazi watoto wakalala njaa kwa kujiita jasiri ni ujinga..
Sasa ujasiri unaupima kwa matokeo yake au kwa tunu uliyoisimamia?? Huwezi kuwa jasiri halafu usilipe gharama iwayo yoyote. Ukiona unaogopa kuipigania tunu unayoithamini basi ujue wewe si jasiri. Hii ni tofauti sana na hicho unachoita "ujinga"
Hata kuomba msamaha (swallow your pride) ni ujasiri.
Kuangaika kujishusha kwa muda ili wanaokuzunguka waweze ku-survive (sacrifice ni ujasiri)
Kuacha the one alternative kabla haujapata nyingine just because of pride si ujasiri bali ni pride (all in all its a means to an end) na kupima pros and cons za uamuzi wako
Hata kuomba msamaha (swallow your pride) ni ujasiri.
Kuangaika kujishusha kwa muda ili wanaokuzunguka waweze ku-survive (sacrifice ni ujasiri)
Kuacha the one alternative kabla haujapata nyingine just because of pride si ujasiri bali ni pride (all in all its a means to an end) na kupima pros and cons za uamuzi wako
Its all about a means to an end.., na kama kuna alternatives.., sio vibaya kupiga magoti leo na kesho kusimama milele..
after all Baniani Mbaya Kiatu Chake Dawa...
LAKINI
KUMBUKA...
Tofautisha Ujasiri na Ujinga sababu kuacha kazi watoto wakalala njaa kwa kujiita jasiri ni ujinga..
Uombe msamaha mahali pasipo na kosa? Huo si ujasiri, ni KUJIKOMBA, kujidhalilisha na kuonyesha ujinga wa hali ya juu. Unless uwe incompetent, which means hata kazi yenyewe utakuwa ulipewa tu bila kustahili.
Kuomba msamaha bila kuwa umefanya kosa ni ujinga na unafiki. Huyo bwana hakuomba msamaha kwa sababu aliona hakuwa na kosa lolote alilolifanya zaidi kunyanyaswa tu na huyo bosi.
Amesema watoto wake watalala njaa? And even though, there is 80/20 rule which governs the world. 20% ndio wanaofanya kazi kubwa na 80% ni wafuata mkumbo tu. Kwahiyo kila mtu ana side yake kwenye hixo two sides bila kuitana wajinga.
Mkuu, ukisoma hiyo habari ni kuwa boss wa jamaa alikuwa anamnyanyasa. Na jamaa aliamua kuacha kazi kwa sababu ya manyanyaso. Sasa hapo angeomba msamaha kivipi, wakati hakuwa na kosa lolote?? Unachotaka kutuambia wewe ni kuwa jamaa angenywea, ajipendekeze na kulialia kwa boss mnyanyasaji ili abaki kazini. Sasa huo ni utu? Na inaonekana jamaa alishavumilia kwa muda mrefu; lakini mwisho akaamua kuwa jasiri kulinda utu na heshima yake. Mambo ya "watoto kufa njaa" ni expression tu ya kuonesha kwamba sasa huna kazi, huna kipato, na kwa sababu hiyo mipango yake mingi aliyokuwa amepanga itavurugika. Kwa hiyo usiichukulie hiyo expression kwa neno kwa neno.Wakuu naomba turudi tena kwenye maneno ya mleta mada sio maneno yangu.....
Just Ask YourSelf
Does it make a Bigger Man to Fight or Walk Away / Give in....
"Nilipomdodosa kwanini asingekubali tu kubembeleza ili watoto wasife njaa ndio akatoa kauli hiyo..."
From the above scenario utaona kwamba watoto are at a stake.., well-being ya watoto na familia.., sasa ngoja nikupe mfano.., kama wewe ni houseboy wa muhindi kila siku anakutukana na kukutesa na bado haujapata alternative ya kwenda pengine kufanya kazi.., ni kweli inakuuma na unapata hasira ndani kwa ndani je ni rahisi kumpiga muhindi na kuondoka au ni vigumu zaidi kuvumilia mateso unayopata for well-being ya familia yako (sacrife your happiness na pride yako)...
Na je itakuwa ujinga au ujasiri kuondoka pale na kumpa muhindi vidonge vyake na kwa action yako ku-affect familia yako ?
Kumbuka busara ni kutafuta kazi nyingine / alternative na kuondoka because sometimes your better off alive than dead (sacrificing yourself and your pride for the better future ya familia yako) and that takes guts
Mkuu ukinisoma upya utaona maneno yafuatayo;Mkuu, ukisoma hiyo habari ni kuwa boss wa jamaa alikuwa anamnyanyasa. Na jamaa aliamua kuacha kazi kwa sababu ya manyanyaso. Sasa hapo angeomba msamaha kivipi, wakati hakuwa na kosa lolote?? Unachotaka kutuambia wewe ni kuwa jamaa angenywea, ajipendekeze na kulialia kwa boss mnyanyasaji ili abaki kazini. Sasa huo ni utu? Na inaonekana jamaa alishavumilia kwa muda mrefu; lakini mwisho akaamua kuwa jasiri kulinda utu na heshima yake. Mambo ya "watoto kufa njaa" ni expression tu ya kuonesha kwamba sasa huna kazi, huna kipato, na kwa sababu hiyo mipango yake mingi aliyokuwa amepanga itavurugika. Kwa hiyo usiichukulie hiyo expression kwa neno kwa neno.
Utaombaje msamaha kama hujakosa ? tena kazini? ukiwa unajiamini mambo yataenda vizuri tu,na pia utaheshimika kwa uamuzi wako.
msamaha bila kukosa labda kwenye ndoa au mahusiano unaweza kuapply.
Utaombaje msamaha kama hujakosa ? tena kazini? ukiwa unajiamini mambo yataenda vizuri tu,na pia utaheshimika kwa uamuzi wako.
msamaha bila kukosa labda kwenye ndoa au mahusiano unaweza kuapply.
Mimi kwa upande wangu kama niko mahali na nina malengo fulani na nahitaji kitu fulani nitaomba msamaha hata pasipo kuambiwa nikishafanikiwa kupata nilichokuwa ninachokihitaji nitakavyotoka mwenyewe atabloo na msamaha wake aliopokea,kuna mzee mmoja ambaye ni tajiri sana kwa sasa hivi yeye alikuwa akija kwako wewe mtu mdogo atakunyenyekea hata kupiga magoti atapiga lakini akishapata alichokua anahitaji utalia,hiyo ni mbinu mojawapo ya kivita katika mapambano ya kutafuta maendeleo.Kwa hiyo wakubwa hilo neno msamaha mnaliogopa lakini linaweza kukufikisha pazuri sana.