Kuishi kwa Shemeji!

Kukaa kwa shemeji..........!
Huo nimtihani mkubwa sana, maana siku akishushiwa kipondo sijui unaingilia kuamulia au au unaugulia pembeni dada akipigwa....!
Kuingilia ugomvi huo haifai Mkuu!
Labda ukiingilia uwe upande wa shemeji, umchenjie dadako, ndo utasalimika!
 
Wakuu!

Kwa familia za kiAfrika tuna tabia za ndugu wa kutoka kwa mke na kwa mume kuishi na familia fulani, hasa wanapokuwa katika hali ya kutafuta misaada au kuugua.

Je inakuwaje pale mke na mume wanapokorofishana na kufikia hatua ya mke kufunga virago kurudi kwao...Je ndugu wa upande wa kike wanaondoka au hubaki?..chukulia kuwa hao ndugu si sehemu ya mgogoro wa familia husika, na hawajawahi kushabikia upande wowote!

Ni ngumu kutoa jibu la haraka haraka. Nafikiri busara kwa wahusika inahitaji zaidi ya kutumia formula ya kwamba ukigombana na mwenza na mashem pia wanatakiwa kula kona. Swali la kujiuliza ni kuwa hao wanahusikaje na mgogoro wenu? Madhara ni nini baada ya kuondoka nyumbani hapo? Kama ulikuwa ukiwahudumia kwa shule/vyuo, hatma yao ni nini? Ni vzr kuwa na ubinaadamu zaidi ....
 
OK...OK...OK...!
Tufanye basi mume ameondoka, je wadogo zake wataondoka nao?...kwanini?
(Japo hapa najua unapigania ku-retain heshima ya eneo maarufu la huko China-Beijing)

mi nafikiri kibinadamu wanaweza kubaki, hebu imagine ni wanafunzi.. Wakiondoka itakuwaje? Halafu vipi kama mke na mume wakarudiana, inamaana walioondoka watarudi tena!
Kwa heshima ya beijing inabindi nijenge kibanda changu kabla sijaolewa na huyo mwanaume aje akae kwangu. Tukitibuana anaondoka yeye.
 
Du!
Inasikitisha sana hii na moyo umeniuma!
Kwahiyo dada ku'behave vyema chumbani kule ni salama ya watu wengi sana huko nje!..du!

sana tu, na dada mwenyewe automatick anakuwa mpole hata kama kosa la mume, na hata akidundwa atavumilia maana anawaza akitoa mguu lazima ndg zake aondoke nao, hapo usiki?ute kuna wanaosoma, au wanamtegemea kwa asilimia 100, unadhani atafanyaje sasa........
 
Ukiwa unaishi kwa shemeji tafsiri yake ni kwamba na wewe unakuwa umeolewa
Mkubwa,
Hii inaelekeana na ukweli, lakini naamini hii inategemeana sana na aina ya akili za muoji!...kama ataamua kuwadharau wadogo za mkewe basi mazingira yatakuwa magumu sana, na itaonekana kama vile wote ni wakeze!~
 
Ni ngumu kutoa jibu la haraka haraka. Nafikiri busara kwa wahusika inahitaji zaidi ya kutumia formula ya kwamba ukigombana na mwenza na mashem pia wanatakiwa kula kona. Swali la kujiuliza ni kuwa hao wanahusikaje na mgogoro wenu? Madhara ni nini baada ya kuondoka nyumbani hapo? Kama ulikuwa ukiwahudumia kwa shule/vyuo, hatma yao ni nini? Ni vzr kuwa na ubinaadamu zaidi ....
Mkuu,
Ndani ya hali ya ugomvi ni ngumu sana mtu kutafakari matokeo ya ugomvi!...mostly hasira zinashika hatamu na baada ya kutokea madhara ndipo wataanza kufikiria kwa usahhihi, na hatimaye kumsingizia SHETANI!

All in all, kukiwa na ugomvi kati ya dada na shemeji, hata bila mtu kutamka neno, au hata wao kutimuana, tayari pale nyumbani panakuwa si mahala salama pa kuishi.
Kama mashemeji wana namna ingine ni vyema wakatafuta visingizio vya kuondoka, lakini wasiondoke kwa vibweka!
 
mi nafikiri kibinadamu wanaweza kubaki, hebu imagine ni wanafunzi.. Wakiondoka itakuwaje? Halafu vipi kama mke na mume wakarudiana, inamaana walioondoka watarudi tena!
Kwa heshima ya beijing inabindi nijenge kibanda changu kabla sijaolewa na huyo mwanaume aje akae kwangu. Tukitibuana anaondoka yeye.
Hii ni sawa kabisa na kabila fulani ambalo ukioa binti kwao wanafanya fasta kuwapa sehemu ya kujenga, na baadaye wanachochea mgogoro kati yenu, ili mwanaume uondoke zako na kuiacha nyumba!
Husninyo,
Ni jambo jema Mwanamke kujiandaa, na kama ana uwezo ni njema akijenga kwao...lakini shida moja ya maendeleo ya aina hii ni kwamba Mwanamke wa aina hii anakuwa na kiburi sana, naanatumia umiliki wa nyumba kama kichaka cha kumtishia mume na kutomheshimu!
Nyumba nzuri ni ile iliyo Neutral ground, si kwa wazazi wa mke au wa mume!
 
Kukaa kwa shemeji..........!
Huo nimtihani mkubwa sana, maana siku akishushiwa kipondo sijui unaingilia kuamulia au au unaugulia pembeni dada akipigwa....!

Umenikumbusha jirani yetu .. kuna jamaa alikuwa anaishi na Shemeji yake (dada yake alikuwa ameolewa hapo). Kuna siku dada yake alikuwa anapigwa ja jamaa (mumewe) huku jamaa kafunga mlango wa chumba.

Jamaa (mdogo mtu) akaenda kwa dirishani akasema kwa sauti kubwa "Shemeji! ... Shemeji! ... ukimuwuwa dada na wewe utawuwawa!"

Majirani tuliokuwepo hapo nje kuamulia ugomvi tulijikuta tunaangusha vicheko kwa namna jamaa alivyokuwa anaongea Lafudhi yake ... katokea Bush na bado alikuwa na Ushamba flani.

Tokea siku hiyo jamaa amekuwa anataniwa na watu wake walio-karibu nae huwa wanamuambia "Shemeji! ... Shemeji! ... ukimuwuwa dada na wewe utawuwawa!"

Huo nimtihani mkubwa sana, maana siku akishushiwa kipondo sijui unaingilia kuamulia au au unaugulia pembeni dada akipigwa....!

Mtambuzi Heshima kwako,

hili jambo linahitaji uangalifu wa hali ya juu, mie kila siku napinga SANA hii kitu, unakuta baba jitu zima na kazi linafanya linang'ang'ania kwa dada yake aliyeolewa, mimi nasema hivi kwa kuwa nimekutana nayo, mke anapokosea na ukamgombeza kwa sauti au kushusha kipondo(Mungu epusha) sijui kaka mtu anajisikiaje ukizingatia ni mwanaume kama wewe, nafikiri rohoni huwa wanatamani kuingilia lakini roho inawasuta kuwa itakuwa ndio passport ya kuondolewa
 
Nawa ombeeni woote wana JF isiwakute situation cumbersome kama hiyo.

Ni fedheha kubwa sana kuishi kwa dada alipo olewa. Hasa kwenye manyumba yetu ya kibongo. Dada akishughulikiwa, wewe unasikiliza. Looooo!!!!!

HAIWEZEKANI!!!!!!!!!!!
 
Kuna wanaume huwa wanaenda mbali wanatafuna wadogo wa mke wake kwa kigezo amawaoa pamoja na dada yao na anawalisha na kuwavalisha wao ni kunya tu.
 
Wakuu!

Kwa familia za kiAfrika tuna tabia za ndugu wa kutoka kwa mke na kwa mume kuishi na familia fulani, hasa wanapokuwa katika hali ya kutafuta misaada au kuugua.

Je inakuwaje pale mke na mume wanapokorofishana na kufikia hatua ya mke kufunga virago kurudi kwao...Je ndugu wa upande wa kike wanaondoka au hubaki?..chukulia kuwa hao ndugu si sehemu ya mgogoro wa familia husika, na hawajawahi kushabikia upande wowote!
haiko clear sana hii mada yako Mkuu, kuna vitu vingi sana unatakiwa kuvifafanua unapozungumzia kufungasha virago
 
Ndugu wote wa mke nao inabidi wafunge virago. Watabakije hapo, kwa misingi ipi? Nani atawahudumia?
 
Mimi sina hiyo experience, wazoefu tuelezeni teh! Ila ubinadamu na busara ni kitu mhm sana!
 
Umenikumbusha jirani yetu .. kuna jamaa alikuwa anaishi na Shemeji yake (dada yake alikuwa ameolewa hapo). Kuna siku dada yake alikuwa anapigwa ja jamaa (mumewe) huku jamaa kafunga mlango wa chumba.

Jamaa (mdogo mtu) akaenda kwa dirishani akasema kwa sauti kubwa "Shemeji! ... Shemeji! ... ukimuwuwa dada na wewe utawuwawa!"

Majirani tuliokuwepo hapo nje kuamulia ugomvi tulijikuta tunaangusha vicheko kwa namna jamaa alivyokuwa anaongea Lafudhi yake ... katokea Bush na bado alikuwa na Ushamba flani.

Tokea siku hiyo jamaa amekuwa anataniwa na watu wake walio-karibu nae huwa wanamuambia "Shemeji! ... Shemeji! ... ukimuwuwa dada na wewe utawuwawa!"
Mkubwa,
Story yako inaonyesha kuchekesha , lakini ni mambo serious sana ambayo yakikupata yanaenda direct moyoni!
Ni hali mbaya ya uwezo na umasikini uliobobea ndiyo unatufanya kudhalilika namna hii!...
Mungu saidia!
 
Back
Top Bottom