s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 465
kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000
Leta contacts zake nitakusaidia kudai....unakata ngapi kwenye hio kilo 2?
kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000
Leta contacts zake nitakusaidia kudai....unakata ngapi kwenye hio kilo 2?
Pole saanna ndugu laki mbili ni pesa nyingi sana mie naweza kukusaidia kwa ushauri na tumia njia hii!! andika ujumbe wa simu au text messeji hivi
Rafiki ni muda mrefu tokea nimekuazima pesa yangu shilingi 200000 namie ninazihitaji kwa ajili ya mambo yangu
najua pesa ni ngumu kupata na wewe huna kwa sasa kama ambavyo umekua unaniambia tokea tarehe ya ......... nilipo
kuazima na ukasema utanirudishia!! naomba tu uniambie ni lini nitegemee utanipatia pesa yangu??
wako........
NOTE kuandika text kama hio ni kumvuta ili uweke ushahidi hata ukimfikisha kwenye vyombo vya usalama kua unamdai sasa akikujibu messeji yako taitumia kama ushahidi!!!jaribu hio njia
dawa yake hii hapa.
1. Mvuate popote alipo mjazie inzi, yaani watu kibao.
2. Mpeleke police wana mitego yao yakudai mtu.
3. Jisevie mpenzi wake kulipa kisasa
kauli za kishamba hizo tena zimeshapitwa na wakati.
huyo inawezekana kaja mwaka jana twn tena kwa lori la machungwa au ngo'mbe.
Mie nimezaliwa na kukulia Dar lakini sijaona ujanja wowote wa vijana wa Dar zaidi ya umarioo tu na ushamba ushamba, wachache sana ni wa janja na wengi katika hao wachache hawajazaliwa wala kukulia hapa wametoka Arusha, Mbeya na Mwanza wengi wao ni wachakarikaji sana umemipataa eeh hamy-d ?
Kama ni hivyo, basi utakuwa umekulia mbezi ya kimara, kimara, gongo la mboto, mbagala na huko tegeta. Lakini kama umekulia kinondoni, sinza, ubungo, ilala, tabata ya hapo relini, kariakoo, buguruni na upanga, lazima huwe mjanja na michakato ya town, kula bata, kutafuta doe na kugonga bitches (uroda daily) yote haya utayajua, unlike those who are born and raised in Mwanza and Arusha sijui Mbeya. Wanazi tu hao.
huyo jamaa yako wa mkoani dar es salaam, ni mpuuzi sana!
Si dharau ID,najua kuna wanawake wanamshiko wa kutosha,lakini sio ww suzie,kama ni kweli ulisamehe 9m,basi umefiliska na hauna kitu tena, kiongozi kitu gani ata mwenyekiti wa mtaa ni kiongozi.
Dar kitu gani watu mandezi tu, kulipa deni hakuhusiani na Dar wala Mwanza.1wa dar anamdharau mtu anayeishi nje ya dar 2 wa mbezi beach osterbay anamdharau anayeishi Mbagala kwa iyo ata nyie wa dar mnadhauliana.
Uko kama shekhe Yakhaya ni kweli nilifilisika "NILI"
Kazi yangu ya uwenyekiti wa mtaa inanitoa maana madili mengi mjini yanaanzia hapa au hujui kama ukifungua ac bank unahitaji muhuri wenye saini yangu? Likibuma popote utakuja hapa. Nasasa kukusaidia vijisenti vyako utaishia serikali ya mtaa. Period
Jaribu Itiqaf ikishindikana test Al-badr ukichemka hapo lete hela ya bia nikampe tiketi ya kuzimu kwa mapanga au sindano ya sumu kazi ambayo nimeifanya sana Shinyanga.