- Thread starter
- #181
Acha kukopesha utapoteza marafiki wengi,sema ndg nipo ovyo ili kulinda urafiki wenu
ushauri mzuri sana huu
Acha kukopesha utapoteza marafiki wengi,sema ndg nipo ovyo ili kulinda urafiki wenu
unashangaa A town huko mwizi anamchoma mtu kisu cha shingo kisa Flash disk
hata mie namshangaa jamaa, mi siku hizi nakopesa mabinti tu tena si zaidi ya elfu therathini.
Dar is a LAND OF OPPORTUNITIES......
Mtafutie wa2 atatoa2 zaid ya hyo,kwan ww uko wap,ukiwapata toka nyandaza juu kusn itakuwa powa
nazani watu wa nyanda za juu kusin wanaweza kufanya kazi iyo vizuri hawaofii kitu ,atatia adabu vya kutosha
Imawezekana ni kweli hii habari. Pole sana ndugu
Lakini wasing'oe kucha na meno!
bado hujajibu swali nililouliza.
kama ni essay question huko nje ya swali.
Nimeipenda hii!!!!!ikiwezekana mpige kabisa.
Kuna jamaa yangu anayeishi Dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini (dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu?
Hiyo kazi ndogo sana. Kwani huna babu yako Maeneo ya Bagamoyo au Katavi?mh ila jamaa kanizidi kama miaka10 alafu bonge la mtu ndio maana natafuta diplomatic kwanza.