- Thread starter
- #201
Hiyo kazi ndogo sana. Kwani huna babu yako Maeneo ya Bagamoyo au Katavi?
sina Babu uko,ila kama unamjua yeyote nielekeze ila asiue,cha muhimu fedha iludi
Hiyo kazi ndogo sana. Kwani huna babu yako Maeneo ya Bagamoyo au Katavi?
Dawa ya Deni ni kulipa ila; "lini" ndoo tatizo! Alafu kuhusu Deni Usiombe umkope Denis ! teh teh
Mababu hawana shida, wao wanapokea maelekezo yako tu. Ukitaka X unapata X, ukitaka Y utapata Y.sina Babu uko,ila kama unamjua yeyote nielekeze ila asiue,cha muhimu fedha iludi
Ongeza hasara kidogo iliufarijike,hapa zenji kuna wachawi (wenyewe wanajiita waganga) wanatia adabu dhulmati kama hao,unaweka mpunga kwa hawa wajomba wa shetani(waganga)unaulizwa adhabu gani wapewe.kwa kuwa wewe unasema jamaa anakutisha kimwili basi napendekeza jamaa awe anaota au ajihisi kila usiku unamgegeda kipopo bawa na kila ukimaliza una mwambia kesho tena kama hutaki nilipe pesa yangu marambili! na ikifika asubuhi mtumie meseji ya "jana ilikuwa tamu nahisi usiku wa leo utaniburudisha vizuri zaidi"mh ila jamaa kanizidi kama miaka10 alafu bonge la mtu ndio maana natafuta diplomatic kwanza.
Ongeza hasara kidogo iliufarijike,hapa zenji kuna wachawi (wenyewe wanajiita waganga) wanatia adabu dhulmati kama hao,unaweka mpunga kwa hawa wajomba wa shetani(waganga)unaulizwa adhabu gani wapewe.kwa kuwa wewe unasema jamaa anakutisha kimwili basi napendekeza jamaa awe anaota au ajihisi kila usiku unamgegeda kipopo bawa na kila ukimaliza una mwambia kesho tena kama hutaki nilipe pesa yangu marambili! na ikifika asubuhi mtumie meseji ya "jana ilikuwa tamu nahisi usiku wa leo utaniburudisha vizuri zaidi"
Vipi unaitaka hiyo adhabu?Mmmmh Aisee
Kaibiwa vitu na fedha usiku wakuamkia juziMsamehe tuu ndugu Dar wengi wao wana maisha magumu sana yaani hadi huwa nawaonea huruma wale watu wacha nikomae na Mbeya yetu tuu bhana.
Kawa mdogo kama piriton,Ongeza hasara kidogo iliufarijike,hapa zenji kuna wachawi (wenyewe wanajiita waganga) wanatia adabu dhulmati kama hao,unaweka mpunga kwa hawa wajomba wa shetani(waganga)unaulizwa adhabu gani wapewe.kwa kuwa wewe unasema jamaa anakutisha kimwili basi napendekeza jamaa awe anaota au ajihisi kila usiku unamgegeda kipopo bawa na kila ukimaliza una mwambia kesho tena kama hutaki nilipe pesa yangu marambili! na ikifika asubuhi mtumie meseji ya "jana ilikuwa tamu nahisi usiku wa leo utaniburudisha vizuri zaidi"