Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

Jaribu Itiqaf ikishindikana test Al-badr ukichemka hapo lete hela ya bia nikampe tiketi ya kuzimu kwa mapanga au sindano ya sumu kazi ambayo nimeifanya sana Shinyanga.

Mh inaonekana wa mzoefu sana,upo siliasi yaani ela ya bia tu umpleke kuzimu,Mkuu hauna njia nyingine ya kumsulubu bila kumtoa rohoo?
 
kama unajua kwake,nenda kisha mwambie nimekuja kuchukua pesa yangu,akigoma kukupa,kaa hapo kula chakula ukiwa unahesabu,sahani moja 1500 na maji kama 2000 kwa mlo,kaa ukipiga hesabu kimya kimya mpaka hela yako inatimia kisha ondoka,ukaendeelee na maisha mkoani....

Mkuu wazo lako sio baya,tatizo sipo Dar nipo mbali naye kumbuka gharama za kusafiri pia shughuli zangu za kikazi zitasimama,nazani iyo inaweza kuwa njia nzuri ya kumdai kwa mtu ambaye ni jirani.
 
Kama ni hivyo, basi utakuwa umekulia mbezi ya kimara, kimara, gongo la mboto, mbagala na huko tegeta. Lakini kama umekulia kinondoni, sinza, ubungo, ilala, tabata ya hapo relini, kariakoo, buguruni na upanga, kijitonyama kwa wanyama, kigogo, magomeni, keko na mabibo, lazima huwe mjanja na michakato ya town, kula bata, kutafuta doe na kugonga bitches (uroda daily) yote haya utayajua, unlike those who were born and raised in Mwanza and Arusha sijui Mbeya. Wanazi tu hao hawajui kitu, wakija town huwa wanahema hema tu wanavyotuona wakongwe wa jiji tunavyo kimbizana na muda.

Kwa hiyo huko kwengine siyo Dar? Kwa taarifa yako mie Mtoto wa kino B nyuma ya kanisa kanazi street muulize Big man Perfy mla unga atakuambia ........
 
mh ila jamaa kanizidi kama miaka10 alafu bonge la mtu ndio maana natafuta diplomatic kwanza.
moes hata mimi yalishanikuta.Miezi 6 baada ya kuanza kazi hapa dar,kuna jamaa nilimpa 150,000.Yeye anafanya biashara ya magari(anazo fuso 2) ya kubeba mizigo na deals zingine (chafu).Baadaye akaleta madharau na kunitisha kwamba siwezi kumdhalilisha kwa kumdai hela ndogo.Akadai atanipoteza.Ikabidi niingie mfukoni tena kutafuta ushahidi wa deals zake,nikaukabidhi kwa wenyewe.Mwisho nilipata hela zangu zote++ pamoja na zile nizotumia kumfuatilia.
 
hivi kwani dar ni kama newyork,london, tokyo?? mana watu wanajiona kama kuishi dar wako peponi kumbe tabu tupu, halafu washamba kibao wajanja wachache
 
kuna watu humu wanadai iyo laki2 ni ndogo nimuachie tu,lakini cha mtu hakipotei hivihivi ata kama ni kidogo,uyu jammaa naye atarudisha iyo laki2 na fidia juu,kwa gharama yoyote ile
 
hivi kwani dar ni kama newyork,london, tokyo?? mana watu wanajiona kama kuishi dar wako peponi kumbe tabu tupu, halafu washamba kibao wajanja wachache

yani nawashangaa sana, sasa wanaoshi newyork,london sijui wasemeje,Hakuna jipya dar.
 
Mtu mwenye pesa akikutana na mtu mjanja.....mwisho wa kujuana kwao yule mwenye pesa ndo huwa mjanja na yule mjanja huondoka na pesa. copy that
 
Acha kukopesha utapoteza marafiki wengi,sema ndg nipo ovyo ili kulinda urafiki wenu
 
hivi kwani dar ni kama newyork,london, tokyo?? mana watu wanajiona kama kuishi dar wako peponi kumbe tabu tupu, halafu washamba kibao wajanja wachache
washamba waliopo dar wanatokea kwenu huko mikoani...ila kama sisi Born here here...long time kitambo...usitupime...hahahaha
 
Mh inaonekana wa mzoefu sana,upo siliasi yaani ela ya bia tu umpleke kuzimu,Mkuu hauna njia nyingine ya kumsulubu bila kumtoa rohoo?

unashangaa A town huko mwizi anamchoma mtu kisu cha shingo kisa Flash disk
 
Hivi mnaelewa mnapoichambua misemo yenu? Mkatae mkubali Dar ni kila kitu, mikoani tunakuja kutafuta hela tu lakini hata mambo mazuri yote yanapatikana Dar, angalia leo sikukuu kubwa Tamasha kubwa la Pasaka lafanyika Dar
Umesema vema hii ni kwa sababu Dar ndiyo confort zone ya wababe,mafisadi,matapeli na mabeberu wa nchi yetu!Any way,sisi mikoani ni washamba tu!Tungekuwa wajanja tusingekubali yote haya kwani hata viongozi tuliowachagua wameenda kubanana Dar!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuna jamaa yangu anayeishi Dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini (dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.

wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.

je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu?

Pole sana mkuu hayo ndio matatizo ya walimwengu.
 
mshushe shipa akome!!
 
washamba waliopo dar wanatokea kwenu huko mikoani...ila kama sisi Born here here...long time kitambo...usitupime...hahahaha
born town kuishi kwa mtogole mitaro ya maji machafu hadi madirishani - nipo dar sababu ya shughuli zangu tu vinginevyo ningeishi mikoani kwenye hewa safi.
 
Hivi kuna watu bado wanaendelea kukopeshana siku hizi bongo ilivyo na njaa.
 
born town kuishi kwa mtogole mitaro ya maji machafu hadi madirishani - nipo dar sababu ya shughuli zangu tu vinginevyo ningeishi mikoani kwenye hewa safi.
kwa hiyo we ni kati ya wahamiaji wa dar wanaotufanya tuonekane...........
 
kwa hiyo we ni kati ya wahamiaji wa dar wanaotufanya tuonekane...........
unafikiri ni sifa gani unapata kuzaliwa jiji chafu lenye msongamano hewa hakuna, maji halina, usafiri kero tupu...eti mjini -- mji utakuwa dar?
 
Back
Top Bottom