Kuishi Dar haimaanishi wewe mjanja


Imekuaje baba Catress?
Umetapeliwa mtu akakulaumu umetapeliwaje na wewe ni mtu wa Dar?
 
Ahaha pambana kabisa sio kawe nenda mbweni kule
Sijamaanisha nitanunua kiwanja kawe kaka huko sipawezi ,nitaenda hata vikindu huko .
Ni jana kuna kampangaji nakauliza vipi mnaelewana vizuri hapo na hamgombani na wapangaji wenzio kakasema ndiyo .

Kumbe walishanishusha heshima kawapigia akina dada eti mbona simsomi mdogo wenu anapiga simu kunibughudhi ,wacha akina dada waniwashie moto mpaka nilianza kuogopa kupokea simu .

Sasa solution ni kujenga kibanda changu ili na mimi niringe tu vya urithi sio kabisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…