Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

Kwan nyerere alikuwa Mungu mpaka asipingwe?usiwe mvivu wa kufikiri kama Vasco Dagama wenu!
 
Baba wa taifa mwenyewe kuna sehemu alikuwa anaipinga Ccm mpaka akafikia hatua kuwapgia kampeni wapinzanh (CUF) na wakapita ,akifufuka leo akakuta comment yako anaweza kukumwakyembe haraka..usiwe kama mwanaasha
 
Duh, sijui nisemeje, nimekosa neno zuri la kuongea...Naona ndugu bado uko kwenye kiza kinene sana, hata mimi nilikua hivyo hivyo, ila niamini, siwezi kusimama mahali strongly kukitetea C.C.M Maana sina point ya maana. Nakosa point ya maana kwa sababu chama chenyewe hakina muelekeo, kimekua chama cha kutetea maovu na kufanya maovu kila kukicha. Mwalimu Nyerere hakuwa mtu wa kutetea maovu hata siku moja...Kupitia Serikali ya C.C.M nchi ytu imepitia mengi mazuri na mabaya as well. Kujali maslahi ya viongozi na sio wanawaowaongoza!!Ili uwe kiongozi ni lazima uwatumikie unaowaongoza na sio wao wakutumikie wewe, shule unazozisema nyingi ni za kata ambazo hazina hata waalimu wa kutosha, na hao waliozianzisha watoto wao wanasoma nje ya Nchi, wengi wako Uingereza, marekani,Malaysia to mention just a few.Hizo shule unazozisema zinaongoza kwa kuwa na matokeo mabovu, sielewi unaongea kitu gani hapa...Vijana waliosoma hawana ajira, wako mtaani hawana cha maana wanachofanya, wakulima wenyewe hawawezeshwi maana sekta ya kilimo imeshikwa na wakubwa wenyewe wanachukua ardhi yetu na kulima na kusafirisha matunda na viungo(spices)nje, na mazao kwa ujumla, fursa hizo watanzania wa kawaida hatuzipati...hospitali zetu hazina vitanda ni kero tu kama huamini nenda kashuhudie, na ili ujue hawana mpango na sisi ndio maana wao wanatibiwa nje ya nchi utaskia India, Ujerumani na kwingine unakopajua wewe. madaktari wetu hawalipwi stahili zao wakigoma wanaambiwa wagome tu wanajeshi watatutibu, walifanya hivyo?matokeo yake ni raia wema kufa pasipo kupata huduma, umeshaenda magerezani ukaona jinsi hali ilivyo?masokoni?miundombinu ya Tanzania?...unaongea uko Tanzania au na ww ni wale wale?wewe nahisi sio mwenzetu, umenikwaza sana...Nyerere haya yote hakuwahi ku propound for, can u please think and reason?????...Nyerere hana mkataba na C.C.M and so do most of the citizens, Watanzania tumeamka na tunataka mabadiliko ndio maana wengi wanahama C.C.M, na trust me, tutahama wengi sana (mimi bado sijahama, ila, NITAHAMA, na sitaondoka mwenyewe).C.C.M sio chama kibaya, wabaya ni wanaotutawala ndani ya C.CM...Moderator naomba niishie hapa maana naona nazidi kuumia moyo....nimesema yote hayo kwa uchungu mwingi
 
Samahani japo mie sio miongoni wa wanaopaka matope CCM, ila si mpenzi wa la mshabiki wao.
Tafadhali rekebisha phrasing ya sentensi yako kwamba hiki chama ndio kile alichokianzisha Nyerere, si kweli, kile chama kilikufa na azimio za Zanzibar. mara tu baada wao wenyewe kushika hatamu.
Mimi kama mtanzania kwa kumuenzi nyerere, nataka hiki chama kife, ili tuanzishe kingine kikiwa na sera za mwalimu wetu mpendwa.
Kwa taarifa yako wenye kupinga CCM wengi hawako JF, wako mtaani huko, kila siku wanatuma laana, na kwa uhakika zitawafikia hao wanaodhani kuwa ile rangi na picha na historia ndio kumuenzi nyerere. Kumuenzi nyerere ni kwa vitendo vya kupigania haki ya wanyonge.
wakulima na wafanyakazi.
angalia migomo ya wafanyakazi walimu na madaktari, ndio utajua jinsi chama cha CCm kinavyoenzi wafanyakazi.
Angalia wanavyorithishana uongozi, hata kwa watoto wao wasioelewa kuwa mtanzania nini kwani wamesomea nje, wamekulia nje.

Kama ni laana inawapata walio bado ndani na washabiki wa CCM,
Sijui wanajisikiaje wanavoiangalia ile bendera, wanavyoipeperusha huwa akilini mwao wanawaza nini??
Huwa nashangaa sana,

Nimekukubali mkubwa.
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

Mwalimu Nyerere mwisho mwisho alikua dissapointed sana na CCM (CCM si baba wala mama yangu)..it was a matter of time angeanzisha chama chake na kuhama na kundi lake kuwaachia mafisadi Mkapa (upinzani wa kweli utatoka CCM). CCM ya Mkapa ikaamua kumsaliti Baba yetu wa Taifa na kwa kutoa roho yake (mungu amlaze pema peponi).

in short CCM siyo Nyerere na Nyerere siyo CCM..
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

Nadhani umechanganyikiwa, hujui ulitendalo na ni mtumwa wa mafisadi, Baba wa taifa mlimuua leo mnajidai ccm ina uzuri gani? Mwalimu Nyerere alisema, ccm siyo baba wala mama yangu, siku moja naweza kuondoka na kuhamia chama kingine.
 
Ni kweli angekuwa hai leo hii angewaona vijana wote malimbukeni wasiasa kutoka chadema ni mazuzu

Ni obvious kwamba siwezi kubishana na mtu mwenye "ubongo" wa aina yako. Ni kweli kabisa inaonekana kwenu ninyi "wateule" wachache watu wa CCM, wale wooote especially vijana wanaopigika na taabu za maisha ya kila siku kutokana na SERA mbaya za chama chenu ambazo ndizo zinaliongoza taifa kwa karne 3 na ushee, sera zinazotoa kipaombele kwenye upendeleo, sera zinazo promote rushwa na kulindana, ni obvious watu wote wanaopiga kelele za ubaradhuli wa CCM ni maadui. Siku zote ninaamini kwenye nguvu ya empowerment. Nipe nafasi nijinyanyue mwenyewe....vijana wengi hawajapewa nafasi, watoto wa wenye CCM ndio wamepewa hizo nafasi na wengine mpaka leo bado wanaendelea kuwa spoon fed, na ndio nyie mnaoogopa upinzani kwa sababu watakata mirija yenu. Your time is near. Hakuna marefu yasiyo na mwisho. So good luck kupiga debe kwa ajili ya tumbo lako.
 
Huu kweli ni ufinyu wa fikra, mimi nina Baba na Mama'ngu- wazazi wangu wamesomeshwa na kodi zao na jasho la mababu zetu kama sio jasho lao wenyewe.
kushika dora haimaanishi wewe ndo mdhamini, ila ni kupewa ruhusa ya kusimamia mali zetu jambo ammbalo sisiyenu imeshindwa.
chama chochote kinaweza kinaweza kuongoza nchi ikiwa kina watu wenye fikra pevu, uwezo wa kielimu, mioyo ya uzalendo na kikubwa zaidi kutambua kuwa NY****RE sio mungu kwamba alichokianzisha ndo msaafu(hakiwezi kubadirika).
SWALI; chama kikiwa na sera kali kuliko za sisi yenu,
kutuongoza kuna hasara gani??
 
Nyerere mwenyewe aliua TANU chama ambacho kwake kilimto sifuri hadi urais, alikua akijua kazi yake imepita, alipoweka chama cha mapinduzi, na kukipa kazi, ilifanya kazi yake kwa uwezo wake. Muda wa mapinduzi ulipita,nyerere alipita, ila chama kipo, hakina muelekeo, kubadilika kutafuta uelekeo mpya hawawezi. Inabidi pia sasa kivunjwe au kiungane kiunde sera, mtazamo, approach mpya etc. Nyerere anashukuru sana kuona mada hizi zinafikirika, kilichokosekana ni mtu jasiri ccm wa kusema sasa kazi ya ccm imeisha, tukivunje tuanze mambo mapya ya kuendana na wakati. Waliopo ni wachumia tumbo mostly
 
Nyerere hanani na CCM ya sasa na hata angekuwepo angeikana kutokana na uovu na laana inayoitafuna ya ufisadi na uonevu.
 
Ukitaka kuona viongozi na wanachama wa Chadema ni mambumbu tafakari kauli zao tu hatumtambui JK kama Rais wa TZ mara Mbowe na Slaa wake wanamtambua na kwenye hutuba zao wanapiga magoti kumuomba Rais awasaidie shida zao. refer hutuba ya mbowe arumeru juzi kama mtaja Rais kikwete kama Rais wake na Tanzania zaidi ya mara 6 kazi ni kwenu mlioijua chadema kupitia JF
kujua kusoma na kuandika siyo kigezo cha kwamba uandike chochote toka kichwani kwako ktk jukwaa letu la siasa. Siku nyingine litendee haki jukwaa letu,usituletee stori za kitoto hapa!
 
Shykwanza, inawezeka upo mirembe ila siwezi kusema kwamba wewe ni mjinga! Hizo ni akili zako, tatizo ni kwamba hazijajaa yaani umepungukiwa kiasi fulani! Kimsingi endelea na matibabu baada ya miezi miwili utatoka - madaktari sasa wanafanya kazi! ILA PUNGUZA KUKURUPUKA Kuli wetu!
 
aisee inawezekana umeiandika hii post kwa kutetea nafasi ya ufisadi uliyoishika, mwalimu hakukiagiza chama kuzalisha dhuluma na mafisadi, aliagiza utawala bora na hekima. Leo hekima iko wapi?
 
umeshindwa kujieleza ndugu,unayoyaongea hayana mashiko kabisa ata Mwl uko alipo anakushangaa@news alert.Amani kwako
 
Walowezi na wachimba madini wapo toka enzi za mkoloni na mwalimu
Propaganda za Chadema zimewapumbaza kuona CCM ina Mafisadi
Mwalimu Nyerere alikufa akiwa mwana CCM na atakumbukwa daima kama muasisi wa Taifa hili na Chama Tawala CCMKweli nimeamini wanachama, wapenzi na mashabiki wa chadema wamerukwa na akili

Ewe Juha, ni nani aliyekuambia kwamba Nyerere ndio think tank ya watz? Hivi aliyeanzisha mfumo wa vyama vingi ni nani? Hivi aliyesema kama kungalikuwa na chama chenye sera mbadala angeihama CCM ni nani? Tena ukome kabisa kuposti pumba kama hizi.
 
Gongo za kibada mbaya, hizi ni gongo zinazotengenezwa haraka haraka huko Kigamboni ili kupisha ujenzi wa mji mpya.
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

Aliyekuloga alisha kufa na milembe hawawezi kukutibu,tafuta jinsi nyingine ya kujitibu ndugu.We ni hatari kushinda UKIMWI kwa maisha na maendeleo ya Watanzania.
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema
baba wa taifa wenyewe kabla ya kufa alishaanza kukiponda na kukichukia chama cha mapinduzi katika hotuba zake utamsikia. angalikuwa hai no wonder angehamia ..............

chama cha mwalimu ni TANU, CCM alikianzisha tu lakini kwa vile aliyoanzisha siyo yanayofanywa basi nyerere na CCM ni vitu tofauti kabisa.
sitaacha kuichukia na kuiponda magamba labda wabadilike. na sijui lini labda nyerere atakaporudi tena.
 
Back
Top Bottom