Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,863
- 95,832
Kama una jina la hiyo documentary naomba unitajie tafadhali,Zimbabwe huko walitua kwenye shule moja ya chekechea na wale watoto walisimulia hii kitu.Nilishawahi kuona documentary ya hili tukio siku za nyuma sana na nitaisaka hii kitu.....
Mkuu kwani unafahamu NWO ni kitu gani?