Naamini kabisa mwenyezi Mungu mwenye huruma na upendo haridhii hukumu na adhabu kama hizi baina yetu.
Hamna zaidi ya ule ubanafsi na kujipendelea tulio nao kila kiumbe tunapo msingizia mwenyezi Mungu kwamba ni matakwa yake.
Thamani ya maisha na uhali kwa kila kiumbe akiwepo mwanadamu ni kubwa mno kiliko thamani ya dini na imani.
Umeongea ukweli ila hata Ukrisro ni hivyo hivyo. Kwa hio ukifanya decolonization of mind fanya kwa ujumla hata na wasio na dini kuna vitu wamepandikizwa.Wee kweli ndiyo umedanganyika mazima.
Nani aliyekuambia uislam ni dini, ile ni mpango au chombo cha kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu. Ndiyo maana kutwa lucha mnaimba maluwe luwe kwa lugha yao ya kiarabu, majina lazima muitwe ya kiarabu, mavazi yenu lazima yawe ya kiarabu, majengo yenu ya ibada lazima yawe ya kiarabu, chakula chenu ndiyo maana lazima kiwe cha mahadhi ya kiarabu, muziki wenu wa kuabudu (kaswida) lazima iwe na miondoko ya waarabu.
Mengine, ibada yenu ya sanamu lazima mkaifanyie kwenye jiwe lililoko uarabuni, kitabu chenu kikuu cha uislam, kimeandikwa kwa kiarabu, nk nk Yaani nyie ni wahanga wa mfumo wa desturi na mila za kiarabu.
Mchina yuko sahihi, ninajuta kuiangalia hiyo video itakaa kichwani mwangu Kwa mda mrefu sanaNdiyo maana Mchina ameweka masharti magumu dhidi ya dini hiyo
😂😂😂 Kinachoufanya kuwa bora kuliko dini zengine au upagani ni nini fafanua,huko kukatana vichwa ndiyo dini ya haki?
Kabla ya kwenda kuuawa unahubiriwa kwanza mauongo kuwa ukiwa mtulivu kwenye kunyongwa unapata thawabu kubwa na unaenda kupokelewa ahera bila shida.
Ila ukileta vurugu zako wakati wa kuuawa, utaenda motoni.
Umeongea ukweli ila hata Ukrisro ni hivyo hivyo. Kwa hio ukifanya decolonization of mind fanya kwa ujumla hata na wasio na dini kuna vitu wamepandikizwa.
Kurudi kuwa waafrika kuna kazi kubwa, wengi hawaani kuwa ni waaafrika.
Udhibiti wake si wa kitoto, kutoroka siyo rahisi, labda utokee muujiza kama tunavyoonaga kwenye movie, huyo hang man auawe na mdunguaji kipindi ananyoosha jambia kukata shingo yako.Na ukitoroka hicho kifinyo
Nani ananipelekesha ? Unanichukulia poa sanaBe free achana na kupelekeshwa utaishia kumlisha askofu na mtume mwamposa.
Ngoja kina Covax na Kikwajuni One akiongozana na KisaiDini ya kiarabu ya kijinga sana. Unalazimishwa kuabudu halafu kiama unapimiwa zambi. Kwa hio ukishachinjwa dhambi zimeisha?
Haya mambo huko huko uarabuni hapa Afrika marufuku na hayana nafasi na tuyakatae. Dini imewrka uhuru ufe na dhambi uchomwe moto, ukiikataa dini uchomwe moto siku ya kiama. Kwa nadharia hii kiama hakipo ni upuuzi mtupu wa kulazimisha tamaduni za kiarabu zitawale dhidi ya nyingine.
Katika kitu nakiona ndugu zangu waafrika kukumbania dini ya warabu mi kuendelea kuwa mtumwa wa kukuza uarabu.
Mwaka wa 5 sasa sijaenda msikitini na huo ujinga siutaki njoo unakate kichwa ili tutiane visu. Hakuna Mungu anaelazimisha bali hukumu ndio itakayo amua sio mtu.
Huwezi ingilia uhuru wangu, tutaelewana.
Nani ananipelekesha ? Unanichukulia poa sana
Mimi sio fala wakupelekeshwa au kutapeliwa
Wengine wanaenda mecca kufanya matambiko na kuacha mabilion ya pesa
Ngoja kina Covax na Kikwajuni One akiongozana na Kisai
Wajue unapoishi waje na Jambia wakufyeke shingo maana umekuwa murtadi na kafiri
Mimi bhana nilipoacha uislamu walitaka kuleta uhuni wao eti ninyang'anywe nyumba ya baba yangu ,eti uende kwa MSIKITI
Iwapo mtu ataacha Uislamu (murtad), na asirudi kabla ya kufa, baadhi ya wanazuoni waliona mali yake inaweza kuchukuliwa na dola ya Kiislamu, na mara nyingine ikapelekwa kwenye Bayt al-Mal (hazina ya Waislamu) au kusaidia taasisi kama msikiti.
Acha tu yaani ,tulileteana shida sana ,uzuri Tanzania hakuna mahakama ya kadhi ,Kumbe mudi kawafundisha utapeli wa hali ya juu. Sasa familia yako itarithi nini?
Ukiona wanakimbilia Ulaya na Marekani wala usiwalaumu.Dini au vikosi vya magaidi?
Ni heri ya upagani kuliko kuamini kwenye kuchinjana. Huo ni ukichaaNyie wote ni wapagani mkuu, ukristo, budha wote ni wapagani.
Dini ni moja tu, Uislamu.....zingine ni upagani
Nilikuwa nasubiri aya sijaona Hata Moja hivyo hizo ni ngonjera hatujaanza kuchafuliwa leoMAANA YA MURTADI
Murtadi ni mtu ambaye alikuwa Muislamu kwa hiari, kisha akaamua kutoka kwenye Uislamu kwa kauli au vitendo vya wazi.
ONYO:Hii video inatisha,Murtadi akichinjwa kwa jina la Allah
HADITH KUHUSU MURTADI
Hadith za Mtume Muhammad (S.A.W) zinaeleza kwa uwazi kuhusu adhabu ya mtu anayeacha dini ya Kiislamu.
Hadith kuu:
a)
Hadithi hii ni sahihi na ndiyo msingi wa hukumu ya kifo kwa murtadi katika fiqh ya Kiislamu. Inahusiana na mtu anayepinga waziwazi dini na kuchochea uasi au fitna.
b)
Imepokewa pia kuwa Mtume (S.A.W) aliwahi kutoa hukumu ya kifo kwa watu waliokuwa Waislamu kisha wakatenda ukafiri kwa makusudi na kujiunga na maadui wa Uislamu.
HUKUMU YA FIQH KUHUSU MURTADI
Wanazuoni wa Kiislamu (fuqaha) wamekubaliana kuwa:
- Murtadi wa wazi (anayepinga na kuchochea): anapewa nafasi ya kutubu. Akikataa, anauliwa kwa amri ya kiongozi wa Kiislamu.
- Murtadi wa ndani (asiyeleta fitna): baadhi ya wanazuoni wa kisasa wanapendekeza aachwe kwa Allah aendelee kuadhibu.
NCHI ZINAZOTEKELEZA HUKUMU HII
Sheria ya adhabu kwa murtadi kwa msingi wa Hadith hutekelezwa katika baadhi ya nchi zenye mfumo wa Shariah kama:
- Saudi Arabia
- Iran
- Sudan
- Afghanistan
Qur’an inazungumzia urtidad (kuacha Uislamu) kama kosa kubwa lenye athari za akhera. Hadith sahihi inatoa amri ya kifo kwa murtadi wa wazi. Hii ndiyo msingi unaotumiwa katika fiqh za baadhi ya madhehebu za Kiislamu.
Acha tu yaani ,tulileteana shida sana ,uzuri Tanzania hakuna mahakama ya kadhi ,
Hizo Hadith alizoweka ni za uongo?Nilikuwa nasubiri aya sijaona Hata Moja hivyo hizo ni ngonjera hatujaanza kuchafuliwa leo
Hizo Hadith alizoweka ni za uongo?
Waislamu mkibanwa mansingizia hamtaki hadithi
Hao wanaochinja wenzao hapo Tena kwa jina la Allah unataka kusema hawaujui uislamu kuliko wewe waliyekuletea kwa jahazi ?
View attachment 3333618