Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kuileta Madrid Bongo ni kituko

raultraining2010_275x155.jpg


Kila lenye mwanzo lina mwisho. Hatimaye yule mtaalamu wa kutikisa nyavu ametuaga rasmi mashabiki wa ligi ya soka Hispania. Mchezaji huyo, Raul Gonzalez, amejiunga rasmi na Schalke ya Ujerumani.

Itakumbukwa kwamba umahiri wake wa kupachika mabao kwa ajili ya Real Madrid ulimfanya apachikwe jina linalofanana na timu hiyo, yaani 'Raul Madrid.'

Enzi za ujana wake hakukuwa na mshambuliaji aliyemzidi kwa kujua namna ya kuwaliza makipa Ulaya, si katika La Liga au Ligi ya Mabingwa Ulaya - labda Samuel Etoo alivyokuwa Barcelona na Andrei Shevchenko alipokuwa AC Milan ndio walimkaribia.

Kwa kweli atakumbukwa sana hasa kwa mchango wako ile siku Real Madrid aliposhirikiana na Kiungo Mtaalamu, Fernando Redondo, kuwasambaratisha Wajivuni Mashetani Wekundi pale nyumbani kwao Old Trafford!

Nenda Raul Nenda!
 
raul madrid na jose maria gutierez tutawakumbuka,iker casillas kapewa unahodha msaidizi wake ni sergio ramos pale santiago bernebeu
 
Hatimaye club ya real madrid imefanikwa kunasa saini ya beki wa chelsea ricardo carvalho kwa paundi milioni 6.6
 
Jose Mourinho, who once ripped Cristiano Ronaldo to shreds in the media when he was a young lad, insulting his supposed lower class background and poor education, has today jumped to his defence.
Now, as manager of Real Madrid, he has noticed what United fans witnessed for years, that Ronaldo gets kicked from pillar to post every game with little punishment imposed on the wrong do-ers.
“Cristiano is a player who does not have the culture of the swimming pool, he has no culture of simulation, he is a British-trained player, Ferguson trained,” said Mourinho. “In some cases, the simulators are given more protection, and those who are honest are often the losers. I’m not a hypocrite if I say that they hit Cristiano very hard, and that the yellow cards do not arrive or are slow in coming.”

His praise for the way Ferguson makes players behave comes in direct contrast with the job he did whilst Chelsea manager.
After leaving the club in 2008, he acknowledge what a cheat Didier Drogba is.
“I am no longer Chelsea coach, and I do not have to defend them any more, but I think it is correct if I say Drogba is a diver.”

My take, Mourinho is a character and I think he is after the mother of all jobs to be honest Ronaldo ana-dive occasionally.
 
...HII NAYO HAINA WENYEWE? au mpaka Champiuons League tu?
 
Mbali na kuwa ni mpenzi mzuri wa Chelsea lakini naipenda pia Real Madrid kwa sababu ya 'the special one' Jose Mo.
Nilisikitika sana kwa kuchapwa zile goli tano na Barca. Lakini uzuri bado real iko juu kwenye ligi
 
Hee! wapenzi wa Real jitokezeni. Upenzi gani huu wa wakati wa ushindi tu, kipindi kile cha kina Makelele, Zidane na wengine kila mtu mpenzi wa Madrid leo wote hawapo!
 
Jamani kupigwa bao 5 na Barcelona kuliniacha hoi. Nilisikia kama pumzi inanikimbia kwani kilichotokea ilikuwa kinyume kabisa na matarajio yangu. Ingekuwa 1-0 ama 2-1 ningeona imeashiria mpambano mkali. Mwaka huu kwa pigo hilo Madrid hawastahili ushindi wa kwanza, wao wajitahidi washike namba 2. Mourionho bado ana kazi kubwa ya kurudisha hadhi ya Real Madrid ambayo imetetereka tangu walipomdharua na kumuachia Makelele aondoke.
 
Jamani kupigwa bao 5 na Barcelona kuliniacha hoi. Nilisikia kama pumzi inanikimbia kwani kilichotokea ilikuwa kinyume kabisa na matarajio yangu. Ingekuwa 1-0 ama 2-1 ningeona imeashiria mpambano mkali. Mwaka huu kwa pigo hilo Madrid hawastahili ushindi wa kwanza, wao wajitahidi washike namba 2. Mourionho bado ana kazi kubwa ya kurudisha hadhi ya Real Madrid ambayo imetetereka tangu walipomdharua na kumuachia Makelele aondoke.
Barcelona muziki mnene kaka!
 
Rafa Jose jibe

Former Chelsea boss Benitez says Real Madrid have “recovered their values” by appointing Carlo Ancelotti.

Benitez, now at Napoli, said: “Carlo’s a great coach and a great person and in a way Real Madrid have recovered the values they always had.”

His words represent a clear dig at Mourinho, who left the Bernabeu under a cloud to rejoin Chelsea earlier this month.

Benitez added: “I have a good relationship with Carlo, since the time when we faced each other in England and from the Champions League final between Liverpool and Milan.

Read more: Rafa Benitez takes pot shot at Jose Mourinho | The Sun |Sport|Football
 
Hii match ya moto kwelikweli, ubabe mwingi ila credit kwa ATM, wanacheza kwa moyo na ndio wanaotengeneza nafasi nyingi za kufunga, wangekua makini kidogo wangeweza kuwa mbele hata kwa magoli matatu.

HT, RMA 0-1 ATM, goal lilifungwa na Diego Costa dk 11, ambaye kama kawa ni nightmare kwa Pepe na Ramos
 
RMA. ATM
9(1)Shots (on Goal)6(3)
9Fouls 9
1Corner Kicks3
0Offsides 2
64%Time of Poss.36%
1Yellow Cards2
0Red Cards0
2Saves 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom