Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kipute kiko Bernabeu, Real Madrid inaongoza kwa bao 1 na Athletic Bilbao 0,dakika ni 30.
Goli la CR7 dakika ya 3.
 
Karim Benzema goli la kichwa dakika ya 40. Half time, Real Madrid 2 Athletico Bilbao 0.
 
Mkuu endelea kutupa updates sis ambao tuko vijijin mkuu
 
Dakika ya tisa kipindi cha pili, Christian Ronaldo anafunga goli la 3.
 
Benzema again, goli la 4 dakika ya 23 kipindi cha pili. Real Madrid wanatisha. Pale mbele kuna CR7, Benzema na Bale, yaani raha kuwaangalia.
 
Hala Madrid, kuna uwezekano tukikutana liverpool anaweza lambishwa tano
 
Christiano Ronaldo goli la 5 dakika 42 kipindi cha pili.
 
Full time, Shangwe Santiago Bernabeu, Real Madrid 5 Athletic Bilbao 0.
 
Christiano Ronaldo anahojiwa, anashukuru wapenzi wa Real na anamsifia Benzema.
 
Ronaldo keshafumania nyavu mara 17 msimu huu. Deadly goal machine. Liverpool wajipange vizuri.
 
Ronaldo kalingana na marehemu mkongwe de stefanio kuwa ni mchezaji mwenye hatrick nyingi kwenye historia ya la liga, mpaka sasa ana hatrick 26. halla madrid. club nimekua nayo hii tangu enzi za akina rendondo, roberto carlos, salgado, fernando hiero, guti, karembeu, rud vanestrooy, raul gonzalez na wengine kibao aisee madrid huwa hawaniangushi hata wakifungwa huwa wanapambana kiume sio vitimu vya ajabu ajabu sijui arsenal nyambafu.
 
Honestly goli la 3, ronaldo kafunga kwa mkono. Ila Illara anaonesha matumaini, hope El classico ataanza na ataperform vyema..
So far so good.
halla madrid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom