Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kuileta Madrid Bongo ni kituko

B2nd half, Bale na Modric wanaingia badala ya Di Maria na Illarramendi
 
Diego Costa yeye na golikipa anakosa goal, sasa ni faulo kwao nje kidogo ya box mpigaji anajulikana CR7, anapaisha!
 
Vp unavyoiona gemu Madrid Real watachomoka kweli?

Madrid team kubwa Mkuu, inawatu wanaoweza kubadili matokeo ndani ya sekunde tu so I won't write them off, lakini kosakosa zote zinatokea golini kwao.
 
RMA wanakoswakoswa hapa, mwamba wa goli ndio unawaokoa wasipigwe bao la pili, dk 82
 
Substitution, ATL, Leo Baptistao replaces Diego Costa.
Garcia replaces Villa
 
Arda Turan OFF, ON Christian Rodrigez
Morata anakosakosa kusawazisha kwa Madrid, na at least kaonesha uhai toka aingie akitokea bench.

Dk.90 + 3
 
Na mpila umekwisha, Real Madrid kafungwa na Diego Costa.
 
Na mpila umekwisha, Real Madrid kafungwa na Diego Costa.

Kuna siku niliuliza hapa, Madrid wamemuuza Ozil, nani atakua mpishi wa magoli, EMT akasema wapo wengi sana, Isco, Bale n.k watapiga mzigo. Leo kama umeangalia match vizuri, Madrid walikua nyanya mbele ya beki ya ATM, hakuna mtu aliyeweza kuuvunja ukuta mgumu wa ATM, Ronaldo masifa leo hata mbio kashindwa kukimbia, Benzema ushuzi mtupu, Bale ajiandae kuanza kuzomewa akiendelea namna hii, Isco ngoma nzito hii ilimshinda. Na wanabahati sana kumaliza wamefungwa kimoko
 
Last edited by a moderator:
This is too bad kwao ukizingatia "pace" waliyonayo Barca msimu huu...

Na match ya juzi bila refa kuingilia kati walikua wadroo au walale kabisa. Mie nawasubiria kwa hamu kwenye Champions League

cc. juve2012
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha haaaa!
Matokeo haya yanifurahisha sana!

Real Madrid wao ndiyo nani?

Hongeza zako D. COSTER wa ATM
 
Na match ya juzi bila refa kuingilia kati walikua wadroo au walale kabisa. Mie nawasubiria kwa hamu kwenye Champions League

cc. juve2012

Na wakimalizana na bianconeri wanaenda nyumbani kwa Barca, hii itatusaidia sana, kocha atakua anawaza mawilimawili, Champions League Vs El Clasico
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku niliuliza hapa, Madrid wamemuuza Ozil, nani atakua mpishi wa magoli, EMT akasema wapo wengi sana, Isco, Bale n.k watapiga mzigo. Leo kama umeangalia match vizuri, Madrid walikua nyanya mbele ya beki ya ATM, hakuna mtu aliyeweza kuuvunja ukuta mgumu wa ATM, Ronaldo masifa leo hata mbio kashindwa kukimbia, Benzema ushuzi mtupu, Bale ajiandae kuanza kuzomewa akiendelea namna hii, Isco ngoma nzito hii ilimshinda. Na wanabahati sana kumaliza wamefungwa kimoko

Nimemsoma Thibaut Courtois nae akisema hivyo hivyo.

Zidane anadai kuwa Mesut Ozil did not want to fight for Real Madrid place - Zinedine Zidane - Football - Sport - London Evening Standard
 
Watu wa kuwasaidia Madrid kwenye kiungo ni Alonso na Modric, Khedira simuoni akicheza kwa kujituma sana kama kipindi cha nyuma.
Ila kwa swala la playmaker, watakua na shida kidogo wakikutana na team zinazocheza kama ATM, Benzema kalimiss bench, the young Morata anahitaji kupewa muda zaidi.
 
Khedira alikuwa pale kwa sababu ya Mourinho.

He is a sort of players Mourinho like.

Otherwise, wala asingekuwa Madrid.
 
Khedira alikuwa pale kwa sababu ya Mourinho.

He is a sort of players Mourinho like.

Otherwise, wala asingekuwa Madrid.

Ukisema hivyo basi na Ozil alikua pale kwa sababu ya Mourinho

Alonso naye kuna tetesi kuwa anakaribia kufungasha vilago vyake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom