EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Ukisema hivyo basi na Ozil alikua pale kwa sababu ya Mourinho
Alonso naye kuna tetesi kuwa anakaribia kufungasha vilago vyake
Yea, he bought all of them, but I think Alonzo was already there.
Ukisema hivyo basi na Ozil alikua pale kwa sababu ya Mourinho
Alonso naye kuna tetesi kuwa anakaribia kufungasha vilago vyake
Yea, he bought all of them, but I think Alonzo was already there.
Haswa, Alonso alikuwepo kabla yake
Leo Madrid anashinda kama kawaida maana asiposhinda atakuwa nyuma ikiwezekana hadi december
real madrd for real....
Nafikiri tayari kuna jukwaa la Real Madrid tatizo hakuna wachangiaji,jaribu kusearch liunganishwe na hili
Nafikiri tayari kuna jukwaa la Real Madrid tatizo hakuna wachangiaji,jaribu kusearch liunganishwe na hili
Ok Belo, nimejaribu kuserch nikakutana na thread ambayo ina tittle,"Real Madrid C.F Special Thread". Lakini kinachoongelewa pale ni ujio wa Real Madrid Tanzania.
Waliziunganisha ukisoma ndani utakuta ndio hiyo
https://www.jamiiforums.com/sports/59122-real-madrid-c-f-special-thread-11.html