Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Noted..........Ila nina imani sana na kikosi cha Spain ukilinganisha na vikosi vingine
Napenda sana SPAIN mpira wao but still wana tatizo la defensive midfilders.Hakuna m-spanish mwenye nguvu/vurugu kama Makelele/Vieira ambao waliweza kuwafunika kabisa viungo wa Brazil ndio maana hata EURO baada ya kumpa uraia Mbrazil Marcos Senna ndiye aliwasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupata ubingwa.Watapata tabu sana wakicheza na timu kama ITALY,GERMANY na nyingine ambazo zinatumia sana nguvu hata EURO wana bahati kwa sababu ile game na Italy Genaro Gatusso na Andrea Pirlo hawakucheza.
 
Namkubali sana Senna...............na nimemuona yupo kwenye preliminary squad........hope atakuwepo hata kwenye fina squad.......Aliwasaidia sana kwenye EURO 2008 huyu jamaa...Hope atawasaidia na mwaka huu
 
Senna alikuwa majeruhi kwa muda mrefu sidhani kama amepona kabisa
 
Balantanda yanga wamekuangusha, arsenal wamekumwaga, madrid wamekutupa pwaaaaa...pole mkuu
 
"We won the tie in Barcelona, but everyone talks about Barcelona winning and says we parked the bus in front of the goal. We didn't park the bus, we parked the airplane and we did it for two reasons. One, because we only had 10 men and two, because we beat them 3-1 at San Siro, not by parking the bus, or the boat or the airplane, but by smashing them at the San Siro".

"Jose Morihno"

source: Jose Mourinho: Champions League bigger than World Cup - UEFA Champions League - ESPN Soccernet
 
huku Real hataweza hasa lile la kupangiwa timu kwamba Raul lazima acheze etc, hicho ndo alichogombana pale Chelsea kuhusu Sevchecko.
 
Binafsi ile arrogance yake ndo huwa naifurahiaa kwani amekuwa akifanikisha kama anavyojitapaaaaaa....
 
Binafsi ile arrogance yake ndo huwa naifurahiaa kwani amekuwa akifanikisha kama anavyojitapaaaaaa....

Anajua kucheza na akili za watu, kwa mfano wakati mchezaji wake anatokewa nje dk ya 30 tu ya mchezo jamaa alicheka sana as if alijua kwamba hakuna kitu kitaharibika oohh kumbe anakuwa anawateka akili ya wapinzania wake - Kucheza na Barca dk 60 mkiwa 10 si mchezooo, hata ukiamua kulinda goli bila organisation nzuri basi yanaweza ingia hata 8.

Morihno ni kocha wa ushindi, believe me angekuwa Man City jamaa wangechukua kombe - he knows how to Organise, Kupandisha morali ya wachezaji, kucheza na akili ya timu pinzani na mbinu za ufundi hasa kupanga ulinzi.

Bado anakuwa kocha mdogo mwenye mafanikio.
 
Huyo jamaa namkubali sana tatizo lake hakai kwenye timu kwa muda mrefu, so far ni kocha ambaye mwenye mafanikio sana kwa klabu za ulaya.Hebu cheki hiyo statistics
Managerial honours
Porto (2002-2004)
Portuguese Liga (2): 2002-03, 2003-04
Portuguese Cup (1): 2002-03
Portuguese SuperCup (1): 2003
UEFA Cup (1): 2002-03
UEFA Champions League (1): 2003-04
Chelsea (2004-2007)
FA Premier League (2): 2004-05, 2005-06
FA Cup (1): 2006-07
League Cup (2): 2004-05, 2006-07
FA Community Shield (1): 2005
Internazionale (200😎
Serie A (2): 2008-09, 2009-10
Coppa Italia (1): 2009-10
Supercoppa Italiana (1): 2008

UNBEATEN RECORD
His last and only home league defeat came when Porto were defeated 3–2 by Beira-Mar on 23 February 2002
 
Kwa miaka ya karibuni hakuna kocha aliyeweza kufanya Madrid wacheze mpira mzuri,enzi zile za kina Fernando Hierro,Raul,Redondo,Carlos,Salgado,Morientes,McManaman jamaa ndio walikuwa wanacheza mpira mzuri.Baada ya kumtimua Del Bosque akaja Quirez,Luxenburgo,Capello,Schuster,sasa Pelegrini wote hamna kitu
 
mourinho kocha,wengi inaelekea wanamjua zaidi mafanikio aliyowapa chelsea,mbona porto ilikuwa haina jina kawapa uefa na uefa champs ligi miaka miwili iliyofuatana achilia mbali ligi yao ureno na pia 2004 hawakupoteza mechi ktk champions ligi ugenini alifungwa moja tu nyumbani na real madrid,wengi wanaomchukia mourinyo asilimia kubwa(95%)ni arsenal mana hawajawahi kumfunga mourinho alipokuwa chelsea na alimpa ukweli wenger,anaheshimu makocha wawili tu england waliobeba champs ligi ferguson na benitez.
 
MOURINHO nenda REAL MADRID huko ndiko kwenye Footbal ya uhakika. LA LIGA Champs mara 31, EURO champs mara 9 halafu mtu mwingne bado hakubali kuwa REAL MADRID are REAL giants
 
Amesha-confirm so next season
Mourinho vs Guardiola
 
Jose Mourinho looks set to leave Inter Milan for Real Madrid after admitting that the Champions League final "will almost certainly" be his last game with the club.

josemourinhotiming20100522_275x155.jpg

Mourinho denied already meeting with Real officials in the immediate aftermath of the final, but he revealed that he is ready to move on after achieving an unprecedented treble with Inter.

"The Champions League I won at Porto (2004) was my last game there and this time it will almost certainly be my last game for Inter,'' Mourinho told Italian television station RAI.

"I want another challenge in my career. I want to become the only coach to win the Champions League with three different clubs. It's not definite that I'll go but I want new risks, new experiences, and now is the moment to decide.''

"I don't know the (Real Madrid) project yet, so I have to hear the project, but at the moment I am not the coach of Real Madrid; I am the coach of Inter and a very proud coach of Inter.

"Inter remains an option and I have a fantastic family here, but Real is the best option I have. The percentage of me leaving is higher than that of staying.

"It (Real) is an enormous club, a club that wants the same as me; I want to win, I want to feel important, I want to keep winning.

And Mourinho went as far as suggesting that he will meet with Real president Florentino Perez in the coming days to thrash out the terms of his move.

"It was difficult to leave Chelsea and it will be sad to leave Inter. Inter is my home in the same way Chelsea was my home. But that's life, that's football.

"Now I have two homes, Stamford Bridge and San Siro. And now I will have a third home - probably the Santiago Bernabeu. If you don't coach Real Madrid then you always have a gap in your career.

"Only Real are interested in me but I haven't spoken with anyone and I haven't signed anything. I promised I'd speak after the final.'' The day after tomorrow (I will speak to Perez).''

More than 40,000 Nerazzurri supporters crowded the San Siro as the players and coaching staff paraded the trophy on the pitch on Sunday, but Mourinho was not with them, chossing instead to spend time with his family.

The headline in Spanish newspaper AS was simply "Signed", while Marca also suggested that Mourinho had already agreed to replace Manuel Pelligrini at the Bernabeu before Saturday's Champions League final.

Madrid have long been linked with a move for Mourinho but that speculation has peaked over the last few months with the Spanish giants struggling to justify the huge on-field investment they made last summer.
Under returning president Florentino Perez, Madrid spent around £217 million (250million euros) on new players but they ended up trophyless for the second successive campaign after being pipped to the league title by rivals Barcelona and suffering disappointing early exits from the Champions League and Copa del Rey.

Pellegrini, the man tasked last summer with taking Madrid back to the top of the tree both in Spain and in Europe, is still officially in the Bernabeu hotseat, but his time in charge may now just be days away from ending.
 
JOSE MOURINHO'S move to Real Madrid has caused panic at the top Premier League clubs.

Chelsea's Didier Drogba, Frank Lampard and Ashley Cole are in his sights, along with Liverpool stars Steven Gerrard and Fernando Torres.
Mourinho, who led Inter Milan to Champions League glory on Saturday night, will be handed a £100million kitty to make Real the kings of Europe.
He will sign a four-year deal with the Spanish giants worth £8m a year, plus hefty bonuses for winning La Liga and the Champions League.
The former Chelsea boss also has close links with Michael Essien and keeper Petr Cech from the club he left in 2007.
And Liverpool will be quaking. The Special One twice tried to sign Kop skipper Gerrard when he was at Chelsea, although luring Torres back to Spain might prove difficult as he remains such a hero at Real's rivals Atletico.
Mourinho is a huge admirer of Manchester United hitman Wayne Rooney, while Arsenal striker Robin van Persie and Manchester City forward Emmanuel Adebayor are also potential targets.
Diego Milito, Inter's two-goal Champions League final hero against Bayern Munich, could follow Mourinho to Madrid, along with play-maker Wesley Sneijder and keeper Julio Cesar.

kama wote hao hapo juu wakimfata morinho basi timu ya sasa ya real lazima ivunjwe maana waliopo madrid kwa mtindo na soka ya morinho hawawezi kabisa.
 
HUKO spain hakutatosha.....

maana dah!jamaa atawarudisha kina robben
 
hose_12_682x400_1049845a.jpg
WELCOMING EMBRACE ... Jose Mourinho could be lining up Steven Gerrard for Real Madrid

Logger
Logger

Hapa tunachangia masuala yote kuhusiana na 'the special one'

hose_12_682x400_1049845a.jpg
WELCOMING EMBRACE ... Jose Mourinho could be lining up Steven Gerrard for Real Madrid

Read more: Chelsea and Kop fear Jose swoop for Drogba, Lampard, Cole, Gerrard and Torres | The Sun |Sport|Football

JOSE MOURINHO'S move to Real Madrid has caused panic at the top Premier League clubs.

Chelsea's Didier Drogba, Frank Lampard and Ashley Cole are in his sights, along with Liverpool stars Steven Gerrard and Fernando Torres.
Mourinho, who led Inter Milan to Champions League glory on Saturday night, will be handed a £100million kitty to make Real the kings of Europe.
He will sign a four-year deal with the Spanish giants worth £8m a year, plus hefty bonuses for winning La Liga and the Champions League.
The former Chelsea boss also has close links with Michael Essien and keeper Petr Cech from the club he left in 2007.
And Liverpool will be quaking. The Special One twice tried to sign Kop skipper Gerrard when he was at Chelsea, although luring Torres back to Spain might prove difficult as he remains such a hero at Real's rivals Atletico.
Mourinho is a huge admirer of Manchester United hitman Wayne Rooney, while Arsenal striker Robin van Persie and Manchester City forward Emmanuel Adebayor are also potential targets.
Diego Milito, Inter's two-goal Champions League final hero against Bayern Munich, could follow Mourinho to Madrid, along with play-maker Wesley Sneijder and keeper Julio Cesar.

Read more: Chelsea and Kop fear Jose swoop for Drogba, Lampard, Cole, Gerrard and Torres | The Sun |Sport|Football
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom