Wanachotaiwa kufanya ni kusajili mabeki(wa kati) hawa waliopo akina Pepe na wenzake wamechoka......Timu iko safi sasa...Ubingwa wawezekanika
Hahaaaaaaaaaaa,mimi mkuu pamoja na The Gunners mapenzi yangu pia yapo kwa timu hii,The Whites....ni mnazi hasa.......
Money cannot buy.................Huu ni msemo mahususi wa hawa ma giant wanajifanya ndo Number 1 kwa kiwango cha soka Barani Ulaya. Real Madrid + CCM= 1
Mkuu Balantanda, kwangu mimi naona beki ya kati sio tatizo hivyo, Pepe sio mchovu, kumbuka kuumia kwake ndio kumetuathiri kwa kiasi fulani hasa pale mwanzoni. Binafsi naona timu haihitaji wachezaji wengi, kwanza kabisa nadhani ni kushughulikia ubavu wa kushoto kwa kufanya moja kati ya haya mawili, au kununua beki tatu ambaye kabobea kwenye ukabaji tu na kumpeleka Marcelo wing ya kushoto. Au kupandisha kumwacha Marcelo aendelee kucheza kama beki tatu (kwa vile mwaka huu kaimprove sana katika ukabaji na hivyo akipewa muda zaidi anaweza kuendelea zaidi ya hapo) na kutafuta kiungo wa kushoto. Guti keshatangaza kuondoka mwishoni mwa msimu, hivyo nafasi yake ijazwe na kijana kabisa, nadhani Canales anaweza kuja kufanya hiyo kazi na Raul hatujui kama ataondoka au la.
Kingine msimu huu tumekosa kiongozi tuwapo uwanjani, maana Raul kiongozi wetu amekuwa mtu wa kuingia dakika za mwisho mwisho, hivyo nadhani kwa msimu ujao ni vema kumsimika rasmi Xabi Alonso (ugeni utakuwa umeisha) kama kiongozi wa ndani, maana Casillas yeye anakuwa mbali kidogo hivyo kuhamasishainamuwia ngumu. Nasema tunahitaji kiongozi kwa vile ukiangalia mechi kama za Barça, ndio wanacheza kiwango kizuri lakini tulipoteza kwa sababu tulikosa kiongozi wa ndani ya uwanja.
hivi hii timu bado ipo?

wanajifanya kivipi wakati mambo yao yanaonekana na kila mtu? wahesabie makombe waliyo nayo. yaani kwa timu pinzani kama Barcelona kufikia rekodi za Real Madrid, inabidi Real Madrid waache kushiriki liki kwa miaka 40 ijayo! sasa unadhani ya mchezo hayo?
Money cannot buy.................Huu ni msemo mahususi wa hawa ma giant wanajifanya ndo Number 1 kwa kiwango cha soka Barani Ulaya. Real Madrid + CCM= 1
Hapo kwenye kupandisha, nilikuwa namaanisha kumpandisha beki mmoja toka Castilla, kuna beki mmoja kule kiwango chake ni kizuri kabisa hivyo angeweza kuja kusaidiana na Marcelo na mara moja moja kumchezesha Albeloa.

pamoja mkuu! bila kusahau Pellegrin aachwe kuandelea na kazi yake aliyoianza, msimu ujao tutafutahi zaidi ya huu.

Safi sana mkuu,nimeksuoma vizuri sana tangu hapo juu...hope this will help
Real Madrid 5 Athletic Bilbao 1
Sevilla 2 Barcelona 3
Hii ligi nayo imekuwa na ushindani sana mwaka huu....Kama EPL
Mwaka huu unakazi kwelikweli maana hakuna kombe utakalochukuwa....yanga,arsenal,real madrid, mji mpwapwa etc----Real Madrid 5 Athletic Bilbao 1
Sevilla 2 Barcelona 3
Hii ligi nayo imekuwa na ushindani sana mwaka huu....Kama EPL
Money cannot buy.................Huu ni msemo mahususi wa hawa ma giant wanajifanya ndo Number 1 kwa kiwango cha soka Barani Ulaya. Real Madrid + CCM= 1
Real Madrid 5 Athletic Bilbao 1
Sevilla 2 Barcelona 3
Hii ligi nayo imekuwa na ushindani sana mwaka huu....Kama EPL
Jumamosi ijayo situation ya Barca na RM nisawa na ya jana jumapili kati ya the blues and red devils. Nasikitika kuwa LA LIGA ubingwa unakwenda tena Barca
Hofu yangu ni mfumo wake wa uchezaji, ataiharibu Madrid bure kwa soka mbovu.