Butola umenena. Tradition ya 'Estadio Santiago Bernabeu' siyo compatible kabisa na methods za Mourinho. Treatment anayopata sasa kutoka kwa Wataliano ni cha mtoto kulinganisha na dhahma atakayopata Spain ambako wanaabudu sana flamboyance. Huyu bwana mdogo na pragmatic (boring) tactics zake atamwagwa siku si nyingi baada ya kufika pale!!Hofu yangu ni mfumo wake wa uchezaji, ataiharibu Madrid bure kwa soka mbovu.
Siyo siri huyu bwana angekuja kwetu imarate akatubadilishia mchezo tukaacha kupaka wanja na kutafuta ubingwa na si ball possession ningefurahi kweli, tatizo ni maneno mengi but he must be the best coach, this i must say!
Ngosha, kila kila timu unayoshangalia mwaka huu inaangukia pua..World Cup unashangilia timu gani ili nianze mapema kuchagua timu ingine? loool
Mji mpwapwa ulihama? naona hujataja timu zote unazoshangilia!...Bwana weee,sijui kwa nini ati...Yanga,Arsenal,Juve,Real Madrid........noma kweli.....
Mimi WC nina timu 2 aisee........Spain na Netherlands
Bwana weee,sijui kwa nini ati...Yanga,Arsenal,Juve,Real Madrid........noma kweli.....
Mimi WC nina timu 2 aisee........Spain na Netherlands
Jiandae kulia tena
Lol...............Utahamia timu gani sasa.............Brazil????????...........ama EnglandMji mpwapwa ulihama? naona hujataja timu zote unazoshangilia!...
Kama wewe Spain na Netherlands, basi mimi nachukuwa timu zingine maana wewe historia yako inaonesha timu unazopenda huwa hazishindi, nina mifano
We Timu gani kwani Belo?........Brazil??????????????????
Timu zangu zote wasiwasi safari hii
EUROPE-AZZURI kina Gatusso wameshazeeka,ntashabikia pia SERBIA & HOLLAND
S.AMERICA-ARGENTINA tuna wachezaji wazuri but kocha bomu
AFRICA-EGYPT hawajaingia timu nyingine ni CAMEROON but nitasupport timu zote za Africa ingawa tutakuwa wasindikizaji
ASIA-South Korea
Nyingine vijana wa OBAMA(USA),MEXICO & AUSTRALIA
Bwana weee,sijui kwa nini ati...Yanga,Arsenal,Juve,Real Madrid........noma kweli.....
Mimi WC nina timu 2 aisee........Spain na Netherlands
Spain na Netherlands hawana historia WC hivo kaa kawa andaa mikeka na majamvi ya msiba..lol
Mpemba........Historia si huwa inabadilika bana..........We si uliona Spain walivofanya EURO......Yaani mpaka sasa mi naona Spain ndo wana kikosi cha ubingwa hasa......Tusubiri na tuone
Historia hubadilika ila mara chache sana, pia kumbuka Euro 2008 ilikuwa miaka 2 iliopita, sasa hivi ni 2010 mkulu.