Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kuileta Madrid Bongo ni kituko

mjadala wa BURE, jamaa kaleta hoja, watu wanabadilishana mawazo pamoja na kutanuliana misuli ya timu zao za majuu, wakati dili bado halijagongwa muhuli, NOMA sana, huu ni uswahili uliyopitiliza, lakini tena, ndivyo walivyo waandishi wetu, pamoja na hayo tunashukuru utandawazi kwa kutuwezesha kupata habari chapchap...mwisho wa siku AC MILAN itabakia nyeupe, labda kina adebayo watakwenda ziba mapengo.

Muzee hapa raha twajipa wenyewe, kama unatafuta mapambano huku siko mkuu.
 
Du natamani ningekuwa mchezaji wa football. Yaani ningejitahidi mpaka niwe International player. Kaka kaula. Ninampenda sana. Kijana wangu wa mwisho tulim-nickname KAKA. Naoana anapenda football, ninamtia moyo.
Anaenda kumaliza maisha yake kisoka, maana mchezaji akishaanza kuchuja anakimbilia Real Madrid. Hawana jipya wale!

...inasikitisha, mchezaji akiwa ndani ya Contract anauzwa kama njugu, aka "bila ridhaa yake!", wakati huo huo Christiano Ronaldo anaitaka Real Madrid lakini mkataba umemfunga!

...Kaka appears determined to remain at the San Siro.
The 27-year-old said: "I'll say it for the last time, the last time, I don't want to leave Milan.
"In this period I prefer to remain silent because I don't want to be misunderstood.
"To the millions of Milan supporters, I say that I have made my choice. I have said what I want to stay.
"Leave me in peace, please."


 
...inasikitisha, mchezaji akiwa ndani ya Contract anauzwa kama njugu, aka "bila ridhaa yake!", wakati huo huo Christiano Ronaldo anaitaka Real Madrid lakini mkataba umemfunga!

Mkuu, Kaka hajasaini MAdrid
 
Mkuu, Kaka hajasaini MAdrid

...najua hilo Mkuu.

Tatizo ni Berlusconi na board yake ya AC... wanatamani hilo dau ila presha ya mashabiki wa AC na Kaka mwenyewe kutamka si mara moja kwamba hataki kuondoka ndio linalowakwamisha kumuuza!
 
kaka is one of the best player around but i think he is overrated but that is not a problem to a club like real Madrid and with a new president on the board.

All in all Real will benefit from His service that's for sure!!!
 
Kaka kwishinei mbovu sijui kama atacheza half of de Madrid matches next season
 
yeah! kaka ni mchezaji mzuri bt dau hilo ni kubwa sana yaani siamini if ye ni bora zaidi ya wa2 kama TORRES, RIBERRY, MESSI N' SOMETIMES I WONDER WHY DIS MILLIONS OF DOLLARS HAPEWI BEAUTIFUL BOY ANDREAS INIESTA.
 
Alexandre Pato yuko rated 45 million pounds? Hizi bei kubwa kubwa zisiwashitue sana, kwenye mikataba kuna mambo mengi ambayo mengine hayawekwi wazi kama ushindi wa vikombe, akiumia na vitu vidogo vidogo kama hivyo.
 
kaka is one of the best player around but i think he is overrated but that is not a problem to a club like real Madrid and with a new president on the board.

All in all Real will benefit from His service that's for sure!!!

Alsaidy;

I like your avatar "Stevie G rightly on the spot", I hope we will see one for Wayne Ruiny!!!

YNWA
 
yeah! kaka ni mchezaji mzuri bt dau hilo ni kubwa sana yaani siamini if ye ni bora zaidi ya wa2 kama TORRES, RIBERRY, MESSI N' SOMETIMES I WONDER WHY DIS MILLIONS OF DOLLARS HAPEWI BEAUTIFUL BOY ANDREAS INIESTA.

...oooh, kwani unadhani hizo £65m anapewa Kaka? 😀 hilo ni dau wanalofaidika nalo Club na player's agent(s). Mchezaji yeye anaishia kufaidika na kitita cha club atayouziwa, mfano kama £5m kwa mwaka, au £150,000 kwa wiki...

BTW, rais wa AC Milan, (ambaye pia ni waziri mkuu wa Italy) kasema hivi;
Milan set Kaka transfer deadline

_45855636_kaka_credit.jpg


AC Milan owner Silvio Berlusconi says Brazilian playmaker Kaka's future will be decided on Monday.
The 27-year-old Kaka has been linked with a move to Real Madrid in a £56m transfer deal following Florentino Perez's return as president.

Chelsea have also been linked with the Brazilian playmaker, though the London club insisted reports of a £73.5m offer for Kaka were "totally untrue".

"We've never made an offer to AC Milan for Kaka," said a Chelsea statement.
"As a consequence we have not discussed a salary with the player either. Any reports to the contrary are totally untrue," added the Blues statement.

It had been claimed that Kaka's father and agent Bosco Leite had already sealed the deal in Madrid, with Italian Prime Minister Berlusconi admitting the player may move because "they have offered him so much money".
 
Kaka anatakiwa aonyeshe kuwa yeye ni zaidi ya ron na messi sasa maana walikuwa wa 2 sasa wako 3
 
Kuna wachezaji ni SYMBOL ya klabu ,INIESTA,XAVI & PUYOL ni symbol ya Barca sidhani kama wanaweza kuuzwa kwa bei yeyote
KAKA mwenyewe anataka kubaki MILAN lakini sidhani kama Berlusconi ataachia hayo mamilioni MAN CITY walitoa dau karibu mara 2 ya hilo la Real Madrid na Berlusconi alishakubali kumuuza
Milan sasa wanatakiwa wajenge timu upya Gatuso,Seedorf,Ambrosini,Zambrota,Dida,Inzaghi,Pirlo,Nesta wana miaka zaidi ya 30 na Maldini kastaafu hakuna wa kuziba pengo lake,Nesta ni majeruhi na hueda nae akastaafu
 
Kaka Biography


kaka.jpg
Ricardo Izecson dos Santos Leite (born April 22, 1982 in Brasília, Brazil), simply known as Kaká, is a Brazilian footballer who plays as a midfielder for Brazil and the Serie A club A.C. Milan. He is one of the budding young stars in world football.

Family
Kaká's younger brother Rodrigo Izecson Dos Santos Leite, known as Digão, followed in his brother's footsteps and is currently on loan with Serie B team Rimini, after having spent some time in the AC Milan youth squad.

Nickname
The nickname Kaká, from his native Portuguese, is pronounced as it is spelt. The accent would signify that the stress is on the second syllable. In Italian, the language of his current team, the phonetic equivalent is written as Kakà, which is used for Italian television graphics. However, the player's shirt name is spelt KAKA' (with an apostrophe, rather than an accented 'A') for both Brazil and Milan. An internet discussion forum explains the nickname as a commonly used shortened form of "Ricardo" in Portuguese. Kaká is supposed to have got his nickname because his little brother Rodrigo could not pronounce the word "Ricardo" when they were young. Rodrigo called his older brother "Caca\ Kaká suffered an accident when he made a faulty jump off a diving-board, resulting in a vertebra fracture. This could have meant the end of his football career, but he believes that Jesus allowed him to recover and become the successful footballer he is now. When AC Milan won the Serie A title in 2004, Ricky, as he is called by his team-mates, sported a shirt with an "I Belong to Jesus" slogan. He also points his fingers to the sky as a sign of thanks every time he scores, for apparently the same reason.

Marriage
Kaká married Caroline Celico on 23 December 2005 at the evangelical Reborn in Christ Church in Sao Paulo, Brazil, in a wedding attended by fellow players from his national team, as well as other well known international players. Guests included Ronaldo, Adriano, Cafu, Dida, Julio Baptista and Brazilian national coach Carlos Alberto Parreira. Caroline and Kaká first met in 2002, and started dating soon after. The relationship survived Kaká's move from Sao Paulo to Italy in 2003, while Caroline was still at school. It is likely that Caroline will stay in Brazil in the short-run, but the couple plan to live together in Italy very soon.

Source: Juni 2009
 
kaka.jpg


ASANTE FAIRPLAY!hivi hii jazz alikuwa anachezea timu gan?
 
Kwa mara nyingine na jambo lisilostaajabisha wala kuleta ukakasi masikioni hadi machoni mwa mashabiki wa kandanda duniani, hatimaye nderemo na vifijo ni huko SANTIAGO BERNEBEU,baada ya MAHIRI WA SOKA YA KIBRAZIL, KAKA Amejiunga na Klabu cha kweli cha MADRID, SHUKRANI ZA KUTOSHA NI KWAKE, BEPARI FIORENTINA PEREZ ALIYEMWAGA MPUNGA WA KUTOSHA KUKAMILISHA NDOA HIYO NA KIJANA HUYO NGULI WA KIBRAZILIANO, HONGERENI WANA MADRID WA UKWELI, JAPO KAZI BADO!
 
Reports suggest that the transfer fee is around 68m euros ($94.05m or £58.9m), thereby smashing the previous world record of £47m set by Real in 2001 when they bought Zinedine Zidane from Juventus.

Kwa mara nyingine tena Chelsea wanapigwa kikumbo.
 
wapo wengi waliomtaka lakini dau limewashinda, na most of time, mnakandamizia kwa CHELSEA, Hivii! nyie mlikuwa hamumtakii au ndo habari ya sungura? acheni hzo banaa! si bora sie 2lietongoza 2karushwaa! nyie je? ZEGEE ENH!
BLUES 4 EVAH!
 
Chelski inacheza mpira mbovu, na Kaka hawezi kwenda kwenye timu inayocheza ovyo kama Chelsea. Game ya Barca na Chelski nadhani ilimpa picha mbaya sana ya hiyo timu ya mamilioni lakini iliishia kucheza 0-10-1 formation. Hivi mnajua alikataa kucheza Man City kwa sababu hizohizo? Mchezaji wa caliber ya Kaka hawezi kuchezea timu isiyokuwa na visheni wala kupendezesha..Arsenal ingekuwa na visheni ya makombe ingekuwa Idela place, au Barca ikifuatiwa na Madrid. Kaka hana shida ya faranga na hajakulia kwenye dhiki kama akina Ronaldo wawili...yaani home mambo safi..aaarggh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom