Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
unapanga lini kufanya hiyo kitu?
Ni nani wakumvisha paka kengere?
unapanga lini kufanya hiyo kitu?
Hapa sihamasishi nimesema nimawazo yangu na mimi sio mwanasiasa so sina influence yoyote kubwa ya kumobilise watu wakachome ile mitambo pale ... But tutaichoma tu na JF haihusiki kwa lolote hapa tunabishana kwa fact: na sio kuiogopa serikali hapa.
Kwa nini jina lako unaliandika kwa herufi kubwa TANMO na sio Tanmo?
Ni maamuzi tu mkuu..
Ooops! :focus:
Binafsi sijashawishika kuunga mkono hili wazo. Lolote litakalotokea kwenye ile mitambo as long as ipo chini ya uangalizi wa Serikali kwa sasa, basi Serikali ndiyo itawajibika kuingia hasara, kuwajibika kwa Serikali inamaanisha kuathirika kwa Mwananchi,,, Bei za vitu zitapanda kwa sababu ya ongezeko la kodi ili Serikali iweze kulipa hasara itakayopatikana iwapo mitambo itachomwa kama unavyohamasisha hapa.
Vile vile hii mada inaweza kusababisha Serikali ikapata sababu ya kuifungia JF au angalau kuwaweka mashakani wamiliki wa JF.. Hatuna haja ya kulitafuta hilo.
Hivyo Great Thinker, Labda tungeliweka kando hili wazo la kuharibu wakati mwathirika mkubwa tutakuwa ni sisi wenyewe, na tufikirie Proposal nyingine itakayotupatia namna ya kukabili hali ngumu inayotuandama nchini.
Tafakari.
Historia itawahukumu hawa jamaa!
Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.

unaonaje neno DOWANS likifutwa na likaandikwa neno IKULU!?...Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.
Ni nani wakumvisha paka kengere?
ivuga kila nikiwaza juu ya hii thread yako nacheka sana sijui hata uliwaza nini
Yaani hili jamaa sijui nilisaidiaje! Yaani maneno sita tu yanalishinda kupangilia... Sijui lingekuwa linaandika thread ndefu kama zile za kina Mohamed Said sijui ingekuaje. Halafu na lenyewe litadai haki yalo ya kuitwa Great thinker. Aaaaaaaaaaaghhhh!
mkuu msamehe jamaa. Labda umeme ulimkatikia