Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Wakubwa wenzangu haya ni mawazo yangu na nawaomba myampokee, hii Dowans imezidi na mafisadi by any means wanaitaka hii hela washatongoza kila sehemu hadi kina kagoda washalainika na sasa hivi wanataka kuibadili sheria ya manunuzi ya vyombo vya serikali. Tatizo ni dowans ile mitambo pale ubungo. Kwa nini tusianzishe movement na kwenda kuichoma? Ile tunaipiga kiberiti na kuiteketeza nina uhakika kidomodomo chao kitaishia hapo. Hela ambayo awanaipoteza inaweza kujengwa bwawa lenye kuzalisha umeme mwingi tu lakini wao wamekomalia manunuzi Dowans wanakatakata umeme kila saa ili kutukomoa na kutulazimisha tukubaliane na manunuzi ya mamitambo yao ili waweke hela mfukoni.
...........................................................................................................................................................................................................................................
nchi ambazo zipo jangwani na hazina vyanzo vya maji zinzpata wapi umeme wa uhakika? mtera mtera kila siku tunasikio wimbo huo huo sijui kina cha maji bana tushachoka boraa tujue moja .....