Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,454
hahah mie huwa namalizana nao hapo hapo siwezi kuwaficha mafichoni.. maana nakuwag na huruma..Hahahahahaha mkuu ni mateso ya siku tatu tukiwa tumemhifadhi kwenye jumba bovu
Hapana mkuu nilikuwa na hasira sana miezi 3 namsaka tena kwa nauli nilimkamatia geita nikaja naye kirafiki kufika mjini nikamgeuka nikaita wazee wa kazi tukampeleka mahina milimani huko siku tatu mpaka pesa na gharama zangu aliponiambia anaenda kuuza assets zake anilipehahah mie huwa namalizana nao hapo hapo siwezi kuwaficha mafichoni.. maana nakuwag na huruma..
pale ninapopata hasira huwa nazitumia hapohapo.. nikikaa nusu saa tu basi nakuwa kama fala
hahaha...safi sana kaka mtu akikuletea mazoea ya ajabu unamalizana nae...Hapana mkuu nilikuwa na hasira sana miezi 3 namsaka tena kwa nauli nilimkamatia geita nikaja naye kirafiki kufika mjini nikamgeuka nikaita wazee wa kazi tukampeleka mahina milimani huko siku tatu mpaka pesa na gharama zangu aliponiambia anaenda kuuza assets zake anilipe
jamaa walikuwa wapo fiti kaka... nilipigwa vitasa vya maana uzuri na mimi nilikuwa nipo fresh kimtindo... nilipiga mmoja teke la koo... hakunyanyuka.. walivyoona mwenzao kalala chini wakakimbilia matofali na majiwe.. nikaona hapa wataniua.. nikakimbiaHaaaaa vipi jamaa walikuwa wako njemaaa ? Vipi huku toa nakoz?
Hahahah na ujanja wako woteMimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
Duuuh hapo ni ilikuwa 50%/50% aise kifo nje njejamaa walikuwa wapo fiti kaka... nilipigwa vitasa vya maana uzuri na mimi nilikuwa nipo fresh kimtindo... nilipiga mmoja teke la koo... hakunyanyuka.. walivyoona mwenzao kalala chini wakakimbilia matofali na majiwe.. nikaona hapa wataniua.. nikakimbia
kaka.. wale jamaa wanapiga ngumi sijapata kuona...... nilikuwa narinda uso.. wasiniharibu wakawa wanapiga (guard) mpaka nikawa naachia mikono zinapita puani... alaf walikuwa wanapokezana.. wanakuja wawili double... wanakupiga nyingi nyingi... alaf mmoja anarudi nyuma.. anakuja mwingine.. yule aliyerud nyuma anapumzika... naendelea na wawili... mmoja akichoka,, anarudi nyuma.. hivyo hivyo... na walikuwa wote wanapiga mapigo ya ajabu ajabu.. NINGEKUFA WALLAHIDuuuh hapo ni ilikuwa 50%/50% aise kifo nje nje
Kipindi hicho nilikuwa sina huruma na kibaka tapeli Jambazihahaha...safi sana kaka mtu akikuletea mazoea ya ajabu unamalizana nae...
Kuna rafiki angu kauwawa mwaka jana alikuwa anapga shule IFM vibaka walichoma kisu shingoni baada ya kuwakazia kutaka kumpora simu yake!jamaa walikuwa wapo fiti kaka... nilipigwa vitasa vya maana uzuri na mimi nilikuwa nipo fresh kimtindo... nilipiga mmoja teke la koo... hakunyanyuka.. walivyoona mwenzao kalala chini wakakimbilia matofali na majiwe.. nikaona hapa wataniua.. nikakimbia
Duuuh hao kweli walikuwa hatarii wanatumia mapigo kabisa ya karate nkajua vibaka tukaka.. wale jamaa wanapiga ngumi sijapata kuona...... nilikuwa narinda uso.. wasiniharibu wakawa wanapiga (guard) mpaka nikawa naachia mikono zinapita puani... alaf walikuwa wanapokezana.. wanakuja wawili double... wanakupiga nyingi nyingi... alaf mmoja anarudi nyuma.. anakuja mwingine.. yule aliyerud nyuma anapumzika... naendelea na wawili... mmoja akichoka,, anarudi nyuma.. hivyo hivyo... na walikuwa wote wanapiga mapigo ya ajabu ajabu.. NINGEKUFA WALLAHI
Dawa yao ni tamaa ya wanaoibiwa tuweeeee!!!! basi dawa yao hakuna kuongea nao kabisa.
wangekuwa VIBAKA hawa njaa njaa wanaokaba kwa roba ya mbao.. ningewapasua vibaya sana.. na ningewafunga kamba wananchi wangewakuta asubuhi ... wale jamaa ni professional...... wanapiga ehehehe...... wanapiga kama hawapigi tena.. yaan kimya kimyaaa........ alaf wananchi wanawajua... walikuwa wanachungulia tu madirishani...Mie mtu akibeba silaha huwa namsoma kama anajua kutumia hiyo silahaDuuuh hao kweli walikuwa hatarii wanatumia mapigo kabisa ya karate nkajua vibaka tu
RIP sometimes.. unaachia tu mali yako iende.. MAISHA ni muhimuKuna rafiki angu kauwawa mwaka jana alikuwa anapga shule IFM vibaka walichoma kisu shingoni baada ya kuwakazia kutaka kumpora simu yake!
R.I.P Hamis Twahaa (makaveli)
Weeeee jamaa umenifanya nicheke hadi machozi yamenitoka aiseeeeeee Hahahahahahahahakaka.. wale jamaa wanapiga ngumi sijapata kuona...... nilikuwa narinda uso.. wasiniharibu wakawa wanapiga (guard) mpaka nikawa naachia mikono zinapita puani... alaf walikuwa wanapokezana.. wanakuja wawili double... wanakupiga nyingi nyingi... alaf mmoja anarudi nyuma.. anakuja mwingine.. yule aliyerud nyuma anapumzika... naendelea na wawili... mmoja akichoka,, anarudi nyuma.. hivyo hivyo... na walikuwa wote wanapiga mapigo ya ajabu ajabu.. NINGEKUFA WALLAHI
Ulitaka kuua kbs mkuusas kuna huyo kibaka.. nimegombea gari... dirishani... huku gari inaenda... akajifanya mjanja kuchomoa pochi yangu.. nikamdaka mkono... hapo gari inaenda.. sijamuachia.... dereva akataka kusimama.. nikamwambia kanyaga baba... wee vuta wese... yule teja akaanza kuliaa nimuachie..... dereva nae kichwa kibovu anakanyaga mafuta tu.. nilimburuza kama mita 100 hivi.. nikamuachia.. gari ikasimama watu wakaenda kumchek.. mie sina habari nakagua vitambulisho vyangu kama bado vyote vipo
aisee pole sanaMimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
Sasa mtu una earphone,mziki ukikata kwanini usishangaeWatu wengi wanaoibiwa simu kwenye daladala mara nyingi huwa wameweka earphone.