Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

Kwenye harusi ya shilole walitoa pesa nyingi sana na ahaf kibao wasafi walitoa noah ya milioni 9 kweli hizo pesa zoote si wangemchangia mwenzao mgonjwa..tatizo hawa wasanii wana dharau sana kwa wananchi wa kawaida ambao wakipata shida ndo wanawarudia hao hao.
Pili walitumika sana na CCM bila hata kujali kazi zao sasa ivi wasaidiwe tu na CCM .mimi kwakwel siwezi kuchanga bora hata tuambiwe tuendelee kumchangia na kumuombea ndugu yetu LIisu Mungu amjalie afya njema huko alipo
 
CCM INA WENYEWE....
NA HII NI LAANA KWA WOTE WALIOINGIZA HII NUKSI MADARAKANI....

KOMBA KAISOMA NAMBA
BONGO MOVIE NDO INAKUFA HVYO
DIAMOND KABAKIA MATUKIO TU MUZIKI MBOVU
STIVE NYERERE NDO ANASEPA HVYO
CHID BENZ NA YEYE NDO BASI TENA
WEMA SEPETU NA YEYE AMEBAKI KUGAWA PAPA TU
CLOUDS NA WAO WAMEISOMA NAMBA FINE FINE TU DAILY

N.B
Kuna wenye uhitaji kuliko yeye
Hii laana haitamuacha mtu salama.
 
Nyumba anazo, magari anayo. Siauze nyumba moja ajilipie aende India. Watu maskini tu wanachangishana wenyewe kifamilia wanaenda kutibiwa India Sembuse yeye mwenye assets zakueleweka. Hapo anachotaka ni kutotumia pesa zake. kuomba msaada inatumika kama mtaji. Hapo makadirio inakusanywa m 100 alafu matumizi India 25 m, faida 75 m.
 
Unajaribu kutuaminisha kua Wastara ana shida...?duh mna masikhara sana waungwana yaani yule ana uwezo wa kifedha zaidi yangu alafu nichange buku tena kumpa yeye utakua uchizi mpya.
 
Lowassa angetaka arudi kwenye trend na aonekane "mwenye roho nyeupeeee" angempeleka kwny matibabu wastara.

Ungeona shughuli ambavyo ingekua kwa yule msemaji wao Polepole+Lumumba
Baada ya kejeli zote zile juu ya afya ya lowassa iliofanywa na kikosi kizima cha MAMA ONGEA NA MWANAO alafu ndio ampeleke india?? Hapana hapana wapambane na hali zao maana wenyewe walijiona wazima sana kuliko waliyemuita mgonjwa lowassa
 
Ajitokeze hadharani na kutuomba msamaha kwa madongo yao yeye na wenzake walitufanyia wakati wa kampeni ,ambazo zilizaa Rais ambaye hatukumchagua.Hasira zetu zipo palepale ,katu hata mtaani nikijua hili jitu la ccm silipi msaada wowote .

Wastara pambana na hali yako kama nanyinyi mlivyosema Tundulisu apambane na hali yake.

Nawachukia miccm
 
Hii isiwe sababu ya kutomsaidia mtu kwakua kuna wengene wanamatatizo lakini hawasaidiwi.

Unapotoa Mungu anakurudishia mara dufu huu ni ushuda sio blah blah
Ndugu, huyu dada; wanasema ana nyumba mbili, duka la sonara alilopewa na familia, workshop pale ilipokuwa bar ya Kwazul Natal Tabata Muslim, magari matatu n.k,

Si mtu wa kusema ana shida, biashara ya pale Kwazul Natal, nimewahi kufika, wale vijana wakanambia kuwa vifaa vyote pale wameagiza toka USA, ni joint venture na dada'ake, si mtumba!

Aliwewahi kuwa mume wake marehemu Sajuki, yeye ni shahidi jinsi gani waTZ walivyojitoa.

Alipoenda India mara mwisho, si wanasema aliyekuwa mume wake(mbunge) na mama Samia walimuwezesha?

Ifike sehemu tukubali hali halisi, wenye mahitaji ni wengi lakini kama utamchukua mwenye mahitaji kumtembeza BAR kuomba msaada, ni kumkosea yeye na kujidhalilisha wewe......wenye moyo wa ubinadamu watajisikia vibaya lakini watakulaani wewe unaye mtembeza muhitaji yule.

Maelezo ya huyo dada, sijasikia akizungumza suala lolote lililoshauriwa na madaktari wetu hapa...angalau hata kusema kwamba anaenda clinic pale MOI.
 
ccm wamsaidie mie binafsi sina habari na ccm awe wastara mtaani kwangu wala popote afiwe awe na harusi si alikuwa anadandia malori na kujishebedua ? sasa mbona chama chake na mwenyekiti wa vijana hawamsaidii
WASTARA1.jpg

Huyu dada ana shida, Watanzania huyu dada anaumwa anahitaji msaada. Nimemuona Clouds tv akijieleza kwa uchungu!

Tuweke mzaha, masihara pembeni tumsaidie atibiwe.

Kiukweli ukitazama akiongea utaguswa mno! Akifa hatujafanya kitu sijui tutasema nini. Wengi wana shida lakini kama watu maarufu yanawakuta haya sisi wengine itakuwaje?

Nimeona namba halali aliyoitaja kwenye tv kumsaidia ni 0768666113.

Tumsaidie jamani! Hata kama una buku!
 
Tatizo la Wastara ni kupenda huruma ya watu kila wakati. Saa nyingine ni bora ukapambana na matatizo mwenyewe tu
 
kuna kampeni moja ile iliyokuwa inasema mama ongea na mwanao.... walikuwa wanakera sana hawa wapuuzi, any way Mungu amsamehe.

jee kujinasifu ana nyumba sijui magari si auze baadhi akajitibie ?
hivi siriazi kile chama cha bwana yule kinanunua viongozi wa upande wa pili wanashindwa kumlipia 19m ili aende nje ?
wasanii wanatumika kama BigG kipindi cha kampeni, kisha wanatemwa. shame, next time wajifunze... stiv anaendeleaje ?
 
Yaani serious kuna wengine wanamhukumu kwa kutumia kigezo cha itikadi za kisiasa?!

Waafrika tuna safari ndefu ya kufahamu siasa hasa ni nini....
kama mie nimemuhukumu naomba mungu asisaidiwe wala kitu gani kwanini asisaidiwe na chama cha mapingduzi wakati alianza kuumwa huko majukwaani?
 
Siasa imepandikiza kitu kipya alilini mwa waafrika.

Kinachomtesa Wastara ni pamoja na kutaka ku-mantain status ya kipindi cha nyuma.

Yaani mguu tu hadi aende nje ya nchi!!?? Wakati kwetu wanaweza!!! Wonderful

Hali siyo nzuri sana kiuchumi inabidi atafute msaada wa kutibiwa hata Bongo.

Kama kweli anazo nyumba zaidi ya moja na Magari zaidi ya moja, basi auze hata moja limkwamue hapo kuliko kuwalilia watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom