Kuhusu wachunguzi wa kimataifa: Majibu ya Waziri Mkuu ni final and conclusive. Hawataruhusiwa!

charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
437
225
Angalia comments walizotoa wengine wengi juu ya hoja yako! Mimi namuheshimu sana mwanasheria. They are very logical, tena logical reasoning, focused, analytical tena scientific analysis, and to crown it all, are PHILOSOPHERS
don't crucify Peter E Mselewa for your own ignorance. kama hujaelewa mada mwambie atarudia kwa lugha nyepesi ambao ni level yako. kama kweli nawe unajiita GT basi lazima ni mvivu wa kusoma na kutafakari. usikurupuke kujibu hoja ambayo hujaelewa, kua mstarabu ili kujijengea heshima!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
28,356
2,000
Leo,katika kipindi cha Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma,Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe alimuuliza Waziri Mkuu,pamoja na mambo mengine,kuhusu wachunguzi wa kimataifa.

Akichagiza swali lake na tukio la kuungua kwa benki kuu ya Tanzania na kuja kwa Scotland Yard hapa nchini kufanya uchunguzi,Mbowe alitaka kujua Serikali inapata kigugumizi gani kuwaruhusu wachunguzi wa kimataifa katika matukio ya utekaji,mauwaji na kushambuliwa kwa watu mbalimbali hapa nchini hasa wanasiasa wa upinzani.

Nikiri,mimi binafsi,swali la Mbowe lilikuwa gumu na la mtego kwa Waziri Mkuu. Lakini,swali la Mbowe lililenga kupata jibu la mwisho ili kufunga mjadala kuhusu kuruhusiwa au kutokuruhusiwa kwa Wachunguzi wa Kimataifa hapa nchini. Jibu la mwisho likatolewa.

Kwa umahiri mkubwa na ubobezi wa kisiasa,Waziri Mkuu alijibu kuwa hadi sasa Serikali ina imani kubwa kwa vyombo vya uchunguzi vya ndani. Akaongeza kuwa Serikali,hadi sasa,haioni haja ya kuruhusu Wachunguzi wa Kimataifa kwakuwa vyombo vyetu vya ndani vina uwezo na Serikali ina imani navyo. Akamaliza kwa kusema kuwa kama vyombo vya ndani vitaona havina uwezo,vitatoa taarifa kwa umma!

Hakika,jibu la Waziri Mkuu lilikuwa la umakini mkubwa na lililofunga mjadala. Haiwezekani vyombo vya uchunguzi vya ndani kusema havina uwezo. Kamwe! Pia,haiwezekani Serikali iseme haina imani na uwezo wa vyombo vya ndani. Ndiyo kusema,jibu la Waziri Mkuu ni final and conclusive. Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwa nchini na Serikali hii kwakuwa haja haionekani!

Rubbish!
 
Chajo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
317
500

Huwa nasikia humu unaitwa mwanasheria.Lakini nikilinganisha na mtindo wako wa uletaji hoja napata tabu sana kuamini kama sheria ni fani yako kweli au ni yale mambo ya mtu akijuajua vitu anapewa fani bandia? Tumeona wengi wakiitwa daktari, mwanasheria, mwalimu, mzee wa sayansi, nk. Tafadhali kwa unyenyekevu naomba unihakikishie fani yako.
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,862
2,000
Leo,katika kipindi cha Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma,Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe alimuuliza Waziri Mkuu,pamoja na mambo mengine,kuhusu wachunguzi wa kimataifa.

Akichagiza swali lake na tukio la kuungua kwa benki kuu ya Tanzania na kuja kwa Scotland Yard hapa nchini kufanya uchunguzi,Mbowe alitaka kujua Serikali inapata kigugumizi gani kuwaruhusu wachunguzi wa kimataifa katika matukio ya utekaji,mauwaji na kushambuliwa kwa watu mbalimbali hapa nchini hasa wanasiasa wa upinzani.

Nikiri,mimi binafsi,swali la Mbowe lilikuwa gumu na la mtego kwa Waziri Mkuu. Lakini,swali la Mbowe lililenga kupata jibu la mwisho ili kufunga mjadala kuhusu kuruhusiwa au kutokuruhusiwa kwa Wachunguzi wa Kimataifa hapa nchini. Jibu la mwisho likatolewa.

Kwa umahiri mkubwa na ubobezi wa kisiasa,Waziri Mkuu alijibu kuwa hadi sasa Serikali ina imani kubwa kwa vyombo vya uchunguzi vya ndani. Akaongeza kuwa Serikali,hadi sasa,haioni haja ya kuruhusu Wachunguzi wa Kimataifa kwakuwa vyombo vyetu vya ndani vina uwezo na Serikali ina imani navyo. Akamaliza kwa kusema kuwa kama vyombo vya ndani vitaona havina uwezo,vitatoa taarifa kwa umma!

Hakika,jibu la Waziri Mkuu lilikuwa la umakini mkubwa na lililofunga mjadala. Haiwezekani vyombo vya uchunguzi vya ndani kusema havina uwezo. Kamwe! Pia,haiwezekani Serikali iseme haina imani na uwezo wa vyombo vya ndani. Ndiyo kusema,jibu la Waziri Mkuu ni final and conclusive. Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwa nchini na Serikali hii kwakuwa haja haionekani!
Serikali (CCM) haiwezi kujichunguza yenyewe na wala haistahili kujisifia yenyewe. Kila mwenye uelewa anaona kuna haki inacheleweshwa au inavunjwa hapa. Mbowe angeomba waruhusiwe kuajiri (P.I.s) wapelelezi binafsi toka nje, mbona madaktari, walimu, nk toka nje na wataalamu wengine wanaruhusiwa kuja kufanya kazi nchini? Nielimisheni wakuu, sheria zinasemaje hapo?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,521
2,000
Mkuu huyu jamaa msome kwa makini sana teuzi zinamsumbua. Hebu msome hapa uone jinsi anavyohaha. Hivi kweli huyo Kalamaganda ni Mzalendo kweli? Kwa lipi alilolifanya la kustahili kumpa hadhi ya uzalendo? Sheria za nchi zinapindwa usiku na mchana na huyu dikteta uchwara ikiwemo kukataa kupatikana kwa katiba mpya ya rasimu ya Warioba ambayo Watanzania wengi tunaitaka. Maiti zinaokotwa ufukweni Dar, Lissu mwezi wa pili sasa tangu afanyiwe shambulizi la kutaka kumuua lakini huyo anayemuunga mkono dikteta uchwara katika kupindisha sheria za nchi yuko kimya kabisa!!! anazungusha mimacho yake kama saa halafu huyu anathubutu kumpa hadhi ya uzalendo!!!

Prof. Kabudi na Prof. Luoga, uzalendo wenu unawainua. I am proud of you!

Msimshambulie Petro E. Mselewa kaeleza jambo hili kiufundi sana. Aya ya mwisho imebeba uzito wa kile kilichozungumzwa na waziri Mkuu. Petro ameandika;

Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwi nchini (na Serikali hii) kwa kuwa haja haionekani!
Asante Komredi Allen Kilewella kwa kupata hoja yangu. Mimi nimeripoti tu, nashambuliwa.

cc Retired, BAK, mgoloko
 
mbandeon

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
1,423
2,000
Muelewe alichoongea Mbowe....

Alichoongea Mbowe ni kuwa wanayo Imani na vyombo vya ndani. Lakini katika tukio hili la kushambuliwa kwa Lissu lina ukakasi mkubwa, ni dhahiri kuwa vyombo vyetu vya ndani vinawajua waliotekeleza unyama ule, na kwa vile kuna maagizo toka juu kuwa STOP kufanya uchunguzi, hapo unategemea nini kitakachoendelea??
Leta uthibitisho wa hili kama huna unatakiwa kukaa kimnya, shenzi type.
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,502
2,000
Naweza kuwaelewa sana serikali ugumu wanaoupata. Hata ningalikuwa ni mimi, bado ningepata ugumu huohuo tu. Imagine wewe unajua kabisa kwa uhakika kuwa matokeo X yamesababishwa na Y, halafu "mtu" anakulazimisha utumie pesa za walipakodi kufanya uchunguzi wa "kutafuta" kilichosababisha X....it doesn't make any sense at all.

"Tupo kwenye vita ya kiuchumi"
 
mbandeon

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
1,423
2,000
Usiwe na akili ya kushikiwa vinginevyo ndiyo yanakuja ya kuitwa ZWAZWA. Kwa tafsiri yangu jina ulilopewa la ZWAZWA limeizidi kiwango cha upumbavu yani we upo upo tu hata ukiona moto huwezi kuutambua kama ni moto!. Kuna mambo mengine usiyatetee humu ndani sabb kuna watu wanajua tukio hili kwa undani na nani wahusika
Watu gani wanajua nani wahusika ? mbona mnapenda kuongelea mambo ya alfu ulela ulela
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
55,330
2,000
Mbona jibu la kawaida tu hilo kiutawala...

Hata Mbowe nadhani alijua kabisa atapewa jibu hilo ili atulie...
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,242
2,000
mtoa mada amewakilisha jibu la serikali ,ila mtoa mada hajaonyesha msimamo wake kuhusiana na jibu lile la serikali sio vema tukamwona mtoa mada kama ni PM,ukweli upo kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama utendaji kazi wake ni wa chini mno,polisi wetu wanashindwa hata to secure a crime scenes,hawana utaalamu wa kukusanya ushahidi na vielelezo katika eneo la tukio hili kila mmoja wetu tunalielewa,ndio maana hadi leo hatujui wale maiti waliokutwa ndani ya mto Ruvu,achilia mbali wa pale Tanga,au Coco beach,uchomaji moto wa ofisi za advocate Karume ,matukio ni mengi mno,tuna jeshi letu la ulinzi angalia mipaka yetu imegeuzwa kuwa ni short cut ya human trafficking,fukwe zetu ni milango ya kupitishia madawa ya kulevya etc etc,unakataliwa kuingia Namanga ila ukienda Horohoro unaingia because our systems haziongei;kwa PM KAJIBU KISIASA MAANA NI AIBU KWA BABA AU MAMA KUSEMA UMESHINDWA KULISHA NA KULINDA FAMILIA YAKO.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
8,209
2,000
So What?!

Petro Ni Upi Huo Umahiri wa Mjibu swali unaouzungumzia kwa mbwembwe hivyo?

Au umejifunza Tabia ya {WOGA} aliyonayo Pascal ile ya "kusifia" huku dhamira yake ya ndani ikiwa kukosoa?
Ulitegemea jibu gani kutoka kwa Waziri Mkuu!

Kumbuka mwuliza swali, Mh Mbowe kaliuliza kwa misingi ya kisiasa, kwani wanadai Serikali ina mkono wake. Baada ya kuuliza swali, na kupewa jibu lisiloridhisha, nilitegemea Mh Mbowe angeomba kuundwa kwa Kamati ya Bunge kuchunguza tukio hilo, la Mbunge mwenzao, ikizingatiwa wanao ukweli. Hakufanya hivyo na akaridhika, sasa humu tunahoji jibu la Waziri Mkuu kwa nini.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,339
2,000
Benki kuu ziliungua pesa zao za kigeni za balozi na miradi yao na makampuni yao na NGO zao na mashirika ya misaada yao zilizokuwa benki kuu kwa hiyo walitakiwa wafike kuhakiki wakadai bima kwao ziwalipe ajali ya moto iliyotokea
Vipi alivyopigwa risasi padri zanzibar wachunguzi wa kimataifa hawakuja?
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,474
2,000
Mimi ninakubali kabisa na mawazo yako ila ukakasi ninaoupata ni jee wale wa Kibiti waliuawa na nani? mbona mauaji yale yalikuwa selective?. Imefika wakati tutumie vichwa vyetu kwa kuwa multi dimensional thinkers na si mono thinkers kama tulivyo hivi sasa.
Angalao wa Kibiti wanakamatwa na kuuawa!! Hili letu hmmm!! mpaka Yesu arudi!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom