Noted with appreciation!Asante Komredi Allen Kilewella kwa kupata hoja yangu. Mimi nimeripoti tu, nashambuliwa.
cc Retired, BAK, mgoloko

don't crucify Peter E Mselewa for your own ignorance. kama hujaelewa mada mwambie atarudia kwa lugha nyepesi ambao ni level yako. kama kweli nawe unajiita GT basi lazima ni mvivu wa kusoma na kutafakari. usikurupuke kujibu hoja ambayo hujaelewa, kua mstarabu ili kujijengea heshima!Angalia comments walizotoa wengine wengi juu ya hoja yako! Mimi namuheshimu sana mwanasheria. They are very logical, tena logical reasoning, focused, analytical tena scientific analysis, and to crown it all, are PHILOSOPHERS
Leo,katika kipindi cha Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma,Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe alimuuliza Waziri Mkuu,pamoja na mambo mengine,kuhusu wachunguzi wa kimataifa.
Akichagiza swali lake na tukio la kuungua kwa benki kuu ya Tanzania na kuja kwa Scotland Yard hapa nchini kufanya uchunguzi,Mbowe alitaka kujua Serikali inapata kigugumizi gani kuwaruhusu wachunguzi wa kimataifa katika matukio ya utekaji,mauwaji na kushambuliwa kwa watu mbalimbali hapa nchini hasa wanasiasa wa upinzani.
Nikiri,mimi binafsi,swali la Mbowe lilikuwa gumu na la mtego kwa Waziri Mkuu. Lakini,swali la Mbowe lililenga kupata jibu la mwisho ili kufunga mjadala kuhusu kuruhusiwa au kutokuruhusiwa kwa Wachunguzi wa Kimataifa hapa nchini. Jibu la mwisho likatolewa.
Kwa umahiri mkubwa na ubobezi wa kisiasa,Waziri Mkuu alijibu kuwa hadi sasa Serikali ina imani kubwa kwa vyombo vya uchunguzi vya ndani. Akaongeza kuwa Serikali,hadi sasa,haioni haja ya kuruhusu Wachunguzi wa Kimataifa kwakuwa vyombo vyetu vya ndani vina uwezo na Serikali ina imani navyo. Akamaliza kwa kusema kuwa kama vyombo vya ndani vitaona havina uwezo,vitatoa taarifa kwa umma!
Hakika,jibu la Waziri Mkuu lilikuwa la umakini mkubwa na lililofunga mjadala. Haiwezekani vyombo vya uchunguzi vya ndani kusema havina uwezo. Kamwe! Pia,haiwezekani Serikali iseme haina imani na uwezo wa vyombo vya ndani. Ndiyo kusema,jibu la Waziri Mkuu ni final and conclusive. Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwa nchini na Serikali hii kwakuwa haja haionekani!
Rubbish!don't crucify Peter E Mselewa for your own ignorance. kama hujaelewa mada mwambie atarudia kwa lugha nyepesi ambao ni level yako. kama kweli nawe unajiita GT basi lazima ni mvivu wa kusoma na kutafakari. usikurupuke kujibu hoja ambayo hujaelewa, kua mstarabu ili kujijengea heshima!
Huwa nasikia humu unaitwa mwanasheria.Lakini nikilinganisha na mtindo wako wa uletaji hoja napata tabu sana kuamini kama sheria ni fani yako kweli au ni yale mambo ya mtu akijuajua vitu anapewa fani bandia? Tumeona wengi wakiitwa daktari, mwanasheria, mwalimu, mzee wa sayansi, nk. Tafadhali kwa unyenyekevu naomba unihakikishie fani yako.Leo,katika kipindi cha Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma,Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe alimuuliza Waziri Mkuu,pamoja na mambo mengine,kuhusu wachunguzi wa kimataifa.
Akichagiza swali lake na tukio la kuungua kwa benki kuu ya Tanzania na kuja kwa Scotland Yard hapa nchini kufanya uchunguzi,Mbowe alitaka kujua Serikali inapata kigugumizi gani kuwaruhusu wachunguzi wa kimataifa katika matukio ya utekaji,mauwaji na kushambuliwa kwa watu mbalimbali hapa nchini hasa wanasiasa wa upinzani.
Nikiri,mimi binafsi,swali la Mbowe lilikuwa gumu na la mtego kwa Waziri Mkuu. Lakini,swali la Mbowe lililenga kupata jibu la mwisho ili kufunga mjadala kuhusu kuruhusiwa au kutokuruhusiwa kwa Wachunguzi wa Kimataifa hapa nchini. Jibu la mwisho likatolewa.
Kwa umahiri mkubwa na ubobezi wa kisiasa,Waziri Mkuu alijibu kuwa hadi sasa Serikali ina imani kubwa kwa vyombo vya uchunguzi vya ndani. Akaongeza kuwa Serikali,hadi sasa,haioni haja ya kuruhusu Wachunguzi wa Kimataifa kwakuwa vyombo vyetu vya ndani vina uwezo na Serikali ina imani navyo. Akamaliza kwa kusema kuwa kama vyombo vya ndani vitaona havina uwezo,vitatoa taarifa kwa umma!
Hakika,jibu la Waziri Mkuu lilikuwa la umakini mkubwa na lililofunga mjadala. Haiwezekani vyombo vya uchunguzi vya ndani kusema havina uwezo. Kamwe! Pia,haiwezekani Serikali iseme haina imani na uwezo wa vyombo vya ndani. Ndiyo kusema,jibu la Waziri Mkuu ni final and conclusive. Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwa nchini na Serikali hii kwakuwa haja haionekani!
Ama umetawaliwa na siasa uchwara.Ama hujui unachosema au ni upofu wa kifikira
Serikali (CCM) haiwezi kujichunguza yenyewe na wala haistahili kujisifia yenyewe. Kila mwenye uelewa anaona kuna haki inacheleweshwa au inavunjwa hapa. Mbowe angeomba waruhusiwe kuajiri (P.I.s) wapelelezi binafsi toka nje, mbona madaktari, walimu, nk toka nje na wataalamu wengine wanaruhusiwa kuja kufanya kazi nchini? Nielimisheni wakuu, sheria zinasemaje hapo?Leo,katika kipindi cha Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma,Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe alimuuliza Waziri Mkuu,pamoja na mambo mengine,kuhusu wachunguzi wa kimataifa.
Akichagiza swali lake na tukio la kuungua kwa benki kuu ya Tanzania na kuja kwa Scotland Yard hapa nchini kufanya uchunguzi,Mbowe alitaka kujua Serikali inapata kigugumizi gani kuwaruhusu wachunguzi wa kimataifa katika matukio ya utekaji,mauwaji na kushambuliwa kwa watu mbalimbali hapa nchini hasa wanasiasa wa upinzani.
Nikiri,mimi binafsi,swali la Mbowe lilikuwa gumu na la mtego kwa Waziri Mkuu. Lakini,swali la Mbowe lililenga kupata jibu la mwisho ili kufunga mjadala kuhusu kuruhusiwa au kutokuruhusiwa kwa Wachunguzi wa Kimataifa hapa nchini. Jibu la mwisho likatolewa.
Kwa umahiri mkubwa na ubobezi wa kisiasa,Waziri Mkuu alijibu kuwa hadi sasa Serikali ina imani kubwa kwa vyombo vya uchunguzi vya ndani. Akaongeza kuwa Serikali,hadi sasa,haioni haja ya kuruhusu Wachunguzi wa Kimataifa kwakuwa vyombo vyetu vya ndani vina uwezo na Serikali ina imani navyo. Akamaliza kwa kusema kuwa kama vyombo vya ndani vitaona havina uwezo,vitatoa taarifa kwa umma!
Hakika,jibu la Waziri Mkuu lilikuwa la umakini mkubwa na lililofunga mjadala. Haiwezekani vyombo vya uchunguzi vya ndani kusema havina uwezo. Kamwe! Pia,haiwezekani Serikali iseme haina imani na uwezo wa vyombo vya ndani. Ndiyo kusema,jibu la Waziri Mkuu ni final and conclusive. Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwa nchini na Serikali hii kwakuwa haja haionekani!
Msimshambulie Petro E. Mselewa kaeleza jambo hili kiufundi sana. Aya ya mwisho imebeba uzito wa kile kilichozungumzwa na waziri Mkuu. Petro ameandika;
Ni wazi kuwa Wachunguzi wa Kimataifa hawaruhusiwi nchini (na Serikali hii) kwa kuwa haja haionekani!
Asante Komredi Allen Kilewella kwa kupata hoja yangu. Mimi nimeripoti tu, nashambuliwa.
cc Retired, BAK, mgoloko
Leta uthibitisho wa hili kama huna unatakiwa kukaa kimnya, shenzi type.Muelewe alichoongea Mbowe....
Alichoongea Mbowe ni kuwa wanayo Imani na vyombo vya ndani. Lakini katika tukio hili la kushambuliwa kwa Lissu lina ukakasi mkubwa, ni dhahiri kuwa vyombo vyetu vya ndani vinawajua waliotekeleza unyama ule, na kwa vile kuna maagizo toka juu kuwa STOP kufanya uchunguzi, hapo unategemea nini kitakachoendelea??
Watu gani wanajua nani wahusika ? mbona mnapenda kuongelea mambo ya alfu ulela ulelaUsiwe na akili ya kushikiwa vinginevyo ndiyo yanakuja ya kuitwa ZWAZWA. Kwa tafsiri yangu jina ulilopewa la ZWAZWA limeizidi kiwango cha upumbavu yani we upo upo tu hata ukiona moto huwezi kuutambua kama ni moto!. Kuna mambo mengine usiyatetee humu ndani sabb kuna watu wanajua tukio hili kwa undani na nani wahusika
Ulitegemea jibu gani kutoka kwa Waziri Mkuu!
I understand, effects of small minds!Rubbish!
Rubbish!I understand, effects of small minds!
Vipi alivyopigwa risasi padri zanzibar wachunguzi wa kimataifa hawakuja?Benki kuu ziliungua pesa zao za kigeni za balozi na miradi yao na makampuni yao na NGO zao na mashirika ya misaada yao zilizokuwa benki kuu kwa hiyo walitakiwa wafike kuhakiki wakadai bima kwao ziwalipe ajali ya moto iliyotokea
Angalao wa Kibiti wanakamatwa na kuuawa!! Hili letu hmmm!! mpaka Yesu arudi!!Mimi ninakubali kabisa na mawazo yako ila ukakasi ninaoupata ni jee wale wa Kibiti waliuawa na nani? mbona mauaji yale yalikuwa selective?. Imefika wakati tutumie vichwa vyetu kwa kuwa multi dimensional thinkers na si mono thinkers kama tulivyo hivi sasa.