kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
Vipi watu wa mungu, I hope mko poa , eebwanae Mimi kesho tar 24/12/ asubuhi na mapema nataka ninyanyue majeshi yaani namaanisha kusafiri kwenda kanda ya kaskazini kama kawaida yetu, sasa swali langu kwenu hasa mliopo ubungo hali ya usafiri upoje? Je naweza kupata tiketi kirahisi kwa semi luxury yeyote ya kwenda huko? Au kituo kimeshakuwa saturated? Mimi nipo huku chanika ndanindani kwa hiyo Mimi kufikaga ubungo unaweza ikawa Mara 2 kwa mwaka, niambieni kabisa ili nianze kupanga mabegi, karibuni mazee,