Kuhusu update ya kituo kikuu cha mabasi ubungo

kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
382
500
Vipi watu wa mungu, I hope mko poa , eebwanae Mimi kesho tar 24/12/ asubuhi na mapema nataka ninyanyue majeshi yaani namaanisha kusafiri kwenda kanda ya kaskazini kama kawaida yetu, sasa swali langu kwenu hasa mliopo ubungo hali ya usafiri upoje? Je naweza kupata tiketi kirahisi kwa semi luxury yeyote ya kwenda huko? Au kituo kimeshakuwa saturated? Mimi nipo huku chanika ndanindani kwa hiyo Mimi kufikaga ubungo unaweza ikawa Mara 2 kwa mwaka, niambieni kabisa ili nianze kupanga mabegi, karibuni mazee,
 
mdetichia

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
5,298
2,000

Kuna dala dala zipo hapo tu mdau mabasi makubwa sahau.
 
Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,338
2,000
Mwaka wa Shetani huu

Yaani hata kwenza kumuona yesu akizaliwa karibu na alipoishi Lema kwa muda mrefu mnazingua

Tuone kama mtapewa tena offer ya Malaika mwakani

Namaanisha nyinyi wachaga
 
kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
382
500
Mwaka wa Shetani huu

Yaani hata kwenza kumuona yesu akizaliwa karibu na alipoishi Lema kwa muda mrefu mnazingua

Tuone kama mtapewa tena offer ya Malaika mwakani

Namaanisha nyinyi wachaga
Mbona una misingi ya kichonganishi mkuu, sasa mambo ya lema yanaingiaje hapo,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom