Kuhusu sms za mapenzi

What to tell mpenzi wako depends na the type of person alivyo...Ni muhimu kumjua mwenzio ana penda nini...Hayo maneno hapo juu nimetoa.. but believe me mpenzi wangu simpi hio mistari...Haimfaii...Mpaka huyu kaomba msaada wa message i bet you ni under 22,na kama ni that age hio message yamfaa kabisa..
Khaaa...partner leo nalala nimenuna.Hiyo mistari hata nilivyokua under 20 ingenifanya nipoteze kabisa interest achilia mbali kua above!!Nwy mtu ambae mpaka msg ya mapenzi anacopy na kupaste ana hasara sana maana wenzake watamwibia kirahisi sana!
 
Dah! kukumiss koote huku nilikua nasogea na hug... mpaka nimeogopa.. nimekukuta movie theater meno yoote nje...lol
 
ha ha ha ... Kabisa.. but one thing... is it mimi tu au JF wamechakachua vicartoon vyetu??
Natafuta hug hapa siipati... Dah!
 
Muulize analalia upande gani wa kitanda....akikujibu pick up from there lol! Ok all jokes aside wewe mpenzi wako mpaka leo hujui nini cha kumwambia? Kweli kazi ipo kizazi hiki.
 
Muulize analalia upande gani wa kitanda....akikujibu pick up from there lol! Ok all jokes aside wewe mpenzi wako mpaka leo hujui nini cha kumwambia? Kweli kazi ipo kizazi hiki.

Stop being mean.. jamaa ulimi mzito anaomba msaada..lol
 
una maneno matamu,big up

My Love…

Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa…
Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha…
oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako…
Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie…
Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri…
lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno…
Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….

Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…

Stop being mean.. jamaa ulimi mzito anaomba msaada..lol
Jamaa ulimi ungekuwa mzito asingeweza kumtongoza bibie unless bibie ndio alimtongoza jamaa.

Ushauri wangu kwake asikilize love songs au asome romantic novels mara kwa mara atapata tips mbili tatu if all fails basi anipe number ya bibie mie kila jioni nitakuwa namtext nikijidai ni jamaa. I kid!!
 
The bolded above... sio necessarily...lol... waweza fanya hivyo..
 
The bolded above... sio necessarily...lol... waweza fanya hivyo..
Hahaha bibie hakawiii kupenda maneno ya mtu mwingine siku ya siku kaamua kulala kwake akiombwa maneno matamu ataishia kujiuma uma bure.
 
Hahaha bibie hakawiii kupenda maneno ya mtu mwingine siku ya siku kaamua kulala kwake akiombwa maneno matamu ataishia kujiuma uma bure.

I bliv ni mwalimu mzuri... by that time course ya kutosha utakua umepatia...lol
 
hongera, vyovyote vile lakin umeonesha upendo kwake, muhimu ni maneno mazuri,kuonesha fillings zako juu yake, ukweli umo ndani ya moyo wako,,:A S 12:but usimdanganye nakuomba plzzz,,
 
mwambie ,hakuna neno kubwa zaid ya ilove you na daima utampnda,, hiyo kutoka kwenye mdomo wako ni furaha sana kwa partner wako,best of luck
 
My Love…Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa… Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha… oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako… Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie… Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri… lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno… Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…
Mkuu Ashadii duh! Umetoa mistari ya ukweli, nadhani hakuna haja ya kuendelea na mjadala, umemaliza vyote teh! Nadhani mpenz wako anafaidi!
 
Mwambie, "Mpenzi wangu mzuri nakupenda sana, But Gagurito kaonyesha kukupenda zaidi, naogopa, nahofia nafasi yangu kwako, ukweli ni kwamba sina uwezo wa kucompete na Gagurito"
 
Mwambie.... "I have started loving 'U'..i know its sounds rediculous but i can't control my feelings for 'U'..sometime later i will start loving more ALPHABETS..." hii safi sana katika mapenzi!
 
Back
Top Bottom