Kuhusu sms za mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu sms za mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kagarara, Jun 18, 2011.

 1. k

  kagarara Senior Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf, nipeni sms za mahaba za kusimua sana ambazo naweza mtumia mpenz wangu usiku huu.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ohoooo!
   
 3. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wakikupa haiwezi kusisimua sana kwasababu itakuwa haijatoka moyoni kabisa, but ngoja tusubiri wataalam wa mambo haya !
   
 4. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa! Unataka kumwonyesha wewe babkubwa eeh?! Hakuna sms nzuri kama kumwandikia hisia zako mkuu. Ila kama mmezoea kudanganyana nenda ka google 'love messages' Unamrushia kumbe na yeye anazo hizohizo siku nyingi...!!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  My Love…


  Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
  jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa…
  Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
  si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha…
  oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako…
  Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie…
  Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri…
  lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno…
  Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
  ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….

  Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…


   
 6. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haya message hiyo, zitakuja na nyingine
   
 7. m

  muhanga JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  usemayo ni kweli na hakika, hisia za moyoni mwako na hasa kwa vile umjuavyo mpenzi wako ndio unaweza kupata maneno mazuri ya kumwambia mpenzio. ila kubwa kwa usiku huu ukiacha longolongo za kimahaba mtakie tu usiku mwema, umwombee dua ili Mungu amlinde na kumlaza salama na awe mzima wa afya hadi siku mtakapoonana tena kwa kudra za Mungu. mfno mie mume anitumie msg eti usiku kucha silali nakuwaza wewe, mara sili silali kwa kukufikiri nitajua tu either zimepotea njia au ananitania au ni utapeli!!
   
 8. k

  kagarara Senior Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks very much for ur help, ww mmoja wa wale wanaopenda mafanikio yangu kwenye mapenzi yangu. Nakuombea na wewe pia.
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Dada bwana!!
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  yakutungiwa hainogi sema neno moja latosha............... usifikiri sana litakuja lenyewe
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Blaki woman mkorofi weweee... mwenye uzi ndo kwanza naona kalala...lol
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ...............hivi Asha,

  unajua kuna mwingine hizi ngonjera zote hazimuiingii akilini kabisa,
  yaani ni mara mia umwambie.................

  ''usiku mwema mpenzi,mungu akulinde''
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ila kwa umri wake huyu kijana,
  hayo maneno aliyompa Asha nadhani yanamfaa.......................
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  What to tell mpenzi wako depends na the type of person alivyo...
  Ni muhimu kumjua mwenzio ana penda nini...
  Hayo maneno hapo juu nimetoa.. but believe me mpenzi wangu simpi hio mistari...
  Haimfaii...

  Mpaka huyu kaomba msaada wa message i bet you ni under 22,
  na kama ni that age hio message yamfaa kabisa..
   
 15. Garmii

  Garmii Senior Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh umeuwa mbaya! Imekataa hiyo.
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  ulipomwandikia utenzi amekwenda moja kwa moja kutema cheche asije sahau................yupo busy sasa hivi na ooohhh you know Ashadii ameniambia nikwambie hahahahah................dearest mambo ya kutongoza bana yanataka utaalam................
   
 17. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  .............absolutely right...
   
 18. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Changanya na zako
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Dah! Finally we agree on something...lol
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Blacki woman umenifurahisha... tatizo watu hurusha uzi hatupewi feedbak...lol...
   
Loading...