Kuhusu sms za mapenzi

Mwambie.... "I have started loving 'U'..i know its sounds rediculous but i can't control my feelings for 'U'..sometime later i will start loving more ALPHABETS..." hii safi sana katika mapenzi!
Amwambie hayo teh!
 
Nimempa option nyingine hapo chini, ashindwe mwenyewe lol.
Mwambie, "Mpenzi wangu mzuri nakupenda sana, But Gagurito kaonyesha kukupenda zaidi, naogopa, nahofia nafasi yangu kwako, ukweli ni kwamba sina uwezo wa kucompete na Gagurito"
 
Ashadii, hiyo mistari ni too much to b useful, cmu yenyewe inapokea characters 160.
 
ila kwa umri wake huyu kijana,
hayo maneno aliyompa Asha nadhani yanamfaa.......................
na kweli yaelekea bado mdogo hajajua vema aanzie wapi! hao ndio wale wa kuimbiana bongo flava kabla ya kulala... ili kuonyesha msisitizo wa penzi changa la dhati wakati nyuma ya pazia ana shazi la wapenzi wa mpito! lakini mwetu sie wakomavu tunajua sms za kuandikiana. maana wakati mwingine mtu una mpenzi ambae ni mume/mke wa mtu, basi jioni kabla giza mshapigiana kutakiana usingizi mwema! na uck ni sms fupi tu ' g9te hun'. nae ajibu same to u! na kama mke/mumewe ni wale wa kuchakura cm za wenzao basi hakuna kutumiana sms maana ni ushahidi ukiweza unatwanga tu cm na mnatakiana uck mwema kiutu uzima mbele ya mwenye mali!
 
Mpenzi wangu, kuwa na wewe kumenifanya niyaangalie maisha kwa jicho la pili, umenipa reason ya kufanya kazi kwa bidii ili tuje tuishi maisha mazuri badae na familia yetu, nakupenda sana mpenzi only you can make me feel this way, please dont change the plan we had
 
mbona simple 'nikinywa maji nakuona kwenye grasi,usiku sipati usingizi juu yako,in shot una make headlines kwenye moyo wangu..
 
mbona simple 'nikinywa maji nakuona kwenye grasi,usiku sipati usingizi juu yako,in shot una make headlines kwenye moyo wangu..
Hahahahahahaha lolDahhhh kwa kweli umenikumbusha mbali Loohhh eti nimeshika pumpzi ndani Niambie wanipenda kabla sijafa loooohhhKuna raha kweli dunia hii. Mmhhhh
 
My Love…

Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa…
Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha…
oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako…
Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie…
Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri…
lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno…
Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….

Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…

mhhh AshaDii sis upo wapi..? njiwa nina salamu
 
kaktika suala hili ni muhimu kumfahamu vizuri huyo menzi wako na kitu gani anachokipenda basi utajua umwambie nini ili nae ajue kuwa unampenda kwa dhati
 
mwambie mother love father,sister love brother but me i love you!ah enzi zetu bwana!
 
My Love…

Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa…
Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha…
oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako…
Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie…
Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri…
lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno…
Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….

Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…

AshaDii nimeupenda utundu na ubunifu wako.
 
Back
Top Bottom