Kuhusu sms za mapenzi

Kuhusu sms za mapenzi

Wana jf, nipeni sms za mahaba za kusimua sana ambazo naweza mtumia mpenz wangu usiku huu.

Ninavyochukia sms za ku foward. mie napenda mtu aandike what he feals, ujue ukiandika kitu so emotional hata anayeisoma unambadilisha anakuwa emotional na inamchukua mda kuisoma na kuirudia while thinking of you.
Muandikie what you feal to yourself and she will be so very happy.
usipende sms za kwenye magazeti mi mtu akinitumia hizo huwa nadelete.
 
Ina maana wewe una database ya sms za magazeti/mtandaoni ili ugundue kuwa hajaandaa yeye

Pia mtu anaweza kuona sms mtandaoni ambayo inakufaa na inagusa hisia zake akaibadilisha kidogo, then akakutumia. usikariri sms mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapenzi wa aina kama zangu wako busy gazeti sidhan kama wanasomaga unaweza kutuma sms ajibu baada ya masaa 8 yupo busy.

Na akijibu ni short ingawa sio kila siku sasa mleta mada mpzio ni umri gan.?
 
Back
Top Bottom