Kuhusu Sirro; Kwa muda aliokuwa IGP na idadi ya watu waliouawa Pwani, anapaswa kujiuzulu/kutumbuliwa

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
 
kwani wanauawa na nani , labda ni yeye! ndiyo mbinu yake labda
 
IGP kishakuambieni kuwa, vijana wake wapo kazini masaa ishirini na NNE, mwataka aongee kiyahudi ndo muelewe nia yake? au kumuona nje ya hicho kiti?
 
IGP SAIDI MWEMA ALITAKA KUSAFISHA HILI GENGE LOTE LA POLISI KIKWETE MAGUFULI NCHEMBA KINANA WAKAMWAMBIA ONDOKA HARAKA muda huu mwema anawacheka kibiti hawataweza wakiweza mimi nampa siroooooo mil 5
 
Mhhh, hebu acha IGP aweke mambo yake piano. sio rahc km unavyofikiri kuingia tu na kumaliza matatizo. Tumpe muda akifumue jeshi la polisi, halafu alisuke upya kwa mbinu zake mpya.
 
Mimi naona IGP anatembea na misafara kama Waziri wa mambo ya ndani ,Mwigulu kila akiwaza zinamjia kichwani ni Balance sheets na debit nw credits tu.
 
Ninachoweza kumshauri siro ni kwamba inatakiwa apangue safu ya vijana wake wote,asuke upya kikosi kazi chenye vichwa vyenye weredi na mawazo + yasiofanya kazi kwa mazoea,hapa namaanisha wale ambao wakifundishwa nusu wao wanajiongeza mpaka kilo ili kuweza kufanikisha majukumu yao,hawa wa sasa wamekariri kupiga tu kitu ambacho hakiwezi kuzaa matunda maana wanafanya kazi kwa mazoea hawaendi na wakati,
Siro kwa weredi wake najua mambo yataenda sawia kama ataamua kusuka upya kikosi kazi
 
unaambiwa hawa magaidi wana kambi nyamisati,kibiti,ikwiriri na kilwa tena wana silaha nyingi ambazo husafirishwa kwa njia ya bahari kupitia bandari ya nyamisati.

tukiwa tunasubiri kundi hili litokomezwe kumbe walishajiandaa zaidi ya miaka 4 iliyopita ikiwa ni pamoja na kuwa na mahandaki ya kutosha
 
Ni kama ameingia kuchochea moto, ameingia na mauaji yameendele tena kwa kasi zaidi kuliko hata kipindi cha nyuma.

Mbaya zaidi kitu kingine kipya kimeingia siyo kuua tu, Bali utekaji pia umechukuwa nafasi.

Nilitegemea anaongia na mbinu mbadala badala yake ameingia tu hakuna jipya zaidi ya kusikia upinzani wakituhumiwa kufanya mauaji hayo
Kwa hiyo ulitarajia akiingia asubuhi jioni mauaji yanakoma?
 
Back
Top Bottom